Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ni utumwa, hata mzungu mwenyewe (mwenye lugha yake) hawezi kukucheka ukiongea kiingereza kibovu. Nilishakuwa nao mara kadhaa.Sjui Kwann mzungu akiongea kiswahili kibovu atapigiwa makofi lakin mswahili akiongea kingereza kibovu atazomewa?
kiswahili ndo lugha yetu sisi hicho kingereza hata tukikosea siyo kitu Cha ajabu isipokua utumwa ulio nao ww ndo unakufanya uone ajabu
Hakuna great thinkers nowadays on JF. JF ilikuwa miaka ya mwanzo, not now! Imebaki midabwada tu! Nani aandike kiingereza humu? Ukitaka ujibiwe na wenye angalau akili kiduchu andika ka broken english utakuwa umewakomesha!Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Weka tu uzi kwa lugha ya kiingereza nitakuitia wachangiaji wapo wengi tu humu jukwaani mimi ninawajua. Weka uziNyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Can I get a bowl of beef/goat/pork tripe soup and 2 rice pancakes, please?Hivi nikitaka kuagiza supu ya utumbo na vitumbua viwili kwa kiingereza nasemaje ?
Chukulia mkuu fulani kaitisha harambee hapa Bongo, pesa zitakazochangishwa ni hizi zetu za madafu, huwezi kuona pesa ya kiingereza wala ya kimarekani kwenye huo mchango na siyo kwamba hakuna matajiri.Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.
Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
You'd definitely get the right soup , but you'd be in for a surprise with your "rice pancakes" order.Can I get a bowl of beef/goat/pork tripe soup and 2 rice pancakes, please?
AFAIK, A round ball-like shape or flattened rounded shape are all pancake shapes, it depends on where you ask for one. Ref, danish pancake ball, Camping - Danish Pancake BallsYou'd definitely get the right soup , but you'd be in for a surprise with your "rice pancakes" order.
Correct me if I'm wrong but for "it" to be considered a pancake shouldnt "it" be cooked on a flat pan ?
I doubt if whatever is cooked on the traditionally moulded pan qualifies to be called a "pancake".
Hiyo reki ni nini?"pipo used to die in ze reki"
Wataje wawiliWeka tu uzi kwa lugha ya kiingereza nitakuitia wachangiaji wapo wengi tu humu jukwaani mimi ninawajua. Weka uzi
wewe pamoja na mwingine ambaye jina lake nimelisahau
Mimi nakataawewe pamoja na mwingine ambaye jina lake nimelisahau