Waweke zege la maana zege gumu kabisa lile wanalozungushia kwenye minara au visima vya maji kabisa sio hayo mapambo yaan inatakiwa mtu akigonga ang'oke na meno, abomoe fuvu la kichwa au avunje miguu na uti wa mgongo kabisa kabisa ili ya kwamba akiwa hospital ajifunze kuheshimu pesa za walipa Kodiujinga wa wajenzi! mbona daraja la nyerere lina kingo ngumu waache ujinga waweke vitu vinaeleweka
Wanateleza na Alteza.Chuma zikiisha kabisa watakua wanateleza kama kambale shwaaa!
Kwanza ni mradi wa hovyo wa JPM sawa tu na Chato Airport. Rais mwenye akili hawezi kumwaga 250 Billion kipuuzi hivyo ndani ya nchi maskini km hii wakati barabara nyingi za kuunganisha mikoa bado ni vumbi.Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.
View attachment 2575439View attachment 2575440View attachment 2575439View attachment 2575440View attachment 2575441View attachment 2575442