MANGAMANGA21
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 227
- 229
Sasa hivi wataanza kuzama baharini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa weledi wa watawala, unaweza shngaa wanadeal na mtoa taarifa badala ya waharibifuHizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.
Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.
Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.
Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.
Nimejiuliza na kuendelea kushangaa maana hizi priorities kwenye hii nchi wanazijua wenyewe. Juzi nilikuwa natoka Kigoma kwenda Katavi aisee hiyo barabara ilivyo haribika na hizi mvua ni balaa kabisa.Hujajiuliza KM 3 kujengwa kwa Bilioni 700?
Daraja la majini ni gharama sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kigoma kwenda Katavi kuna lami barabara yote?Nitajie mkoa ambao hauna lami ..next time usipost utoto humu..hiyo project JPM kaikuta kutoka kwa JK .
Kigoma to Katavi, Tabora to Mbeya...Mkoa gani?
Muda mrefu tu nilikuja kugundua ni kwa nini wazungu walikua hawataki ku share baadhi ya maeneo na watu weusi.., Dah, inatia uchungu sana.Hata Mkapa Stadium inatia aibu. Kiwanja hakijatimiza miaka 20 lakini uharibifu wa viti, masink ya vyoo, madirisha ni kielelezo cha UAFRIKA wetu.
Waafrika hatuna sense of value, period
Tuna shida kubwa sana kwenye kitu kinaitwa ustaarabu, hiyo kitu imetushinda kabisa. Angalia tuu jinsi tunavyotupa takataka hovyo, yaani hata kama kuna dustbin bado mtu atatupa chupa ya maji au juice barabarani. Kuna siku natoka Dododma kuja Morogoro jamaa aliyekuwa kwenye Bus akatupa chupa kubwa ya maji nje ya dirisha ikaenda ikagonga windscreen ya gari ndogo iliyokuwa nyuma ya bus. Dereva wa gari ndogo aliyumba nusu aangushe gari, ni bahati kwamba hakuwa mwenda mkali.Muda mrefu tu nilikuja kugundua ni kwa nini wazungu walikua hawataki ku share baadhi ya maeneo na watu weusi.., Dah, inatia uchungu sana.
Bora wangepitiliza wakaliwe na papaHizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.
Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.
Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.
Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.
Watawala wendawazimu wa namna hiyo walikufa tarehe 17/03/21 na kuzikwa Chato, sasa hivi waliopo wanajielewa.Kwa weledi wa watawala, unaweza shngaa wanadeal na mtoa taarifa badala ya waharibifu