Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

Huu ni mradi wa JK kuanzia planning, financing hadi jiwe la msingi. JPM alikuja ku implement S

Huu ni mradi wa JK kuanzia planning, financing hadi jiwe la msingi. JPM alikuja ku implement tu
Sawa kwani alifanya planning, financing, kwa fedha zake au za serikali, tatizo ujinga na udini umekuathiri ubongo wako ona unavyojiskia aibu.
 
Sawa kwani alifanya planning, financing, kwa fedha zake au za serikali, tatizo ujinga na udini umekuathiri ubongo wako ona unavyojiskia aibu.
Nijisikie aibu ya nini wakati nimekupa facts. Halafu umedandia treni kwa mlango wa mbele. Nilikuwa namjibu mtu aliyesema kuwa Tanzanite Bridge ni mradi wa JPM. Muwe mnasoma kabla ya kukurupuka
 
Waaao this is very nice.

This is what sustainable income generation is.

Apaa li gongwe tena kidogo sio mtu unagonga pakubwa mpaka analetwa contractor wa nnje , ni mwendo wa kidogo kidogo ili contratctor wa kibongo wapate kazi pesa kidogo nao watambe.
 
Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.

Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.

Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.

Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.

Hiyo ni ajali na katika ajali inayoharibu miundo mbinu kama hivyo, huwa wenye magari wanalipishwa faini itakayowezesha kujenga sehemu iliyoharibowa. Hivyo serikali isilielie, wanatakiwa kulikarabati hilo daraja na siyo kuchikichia hiyo hela
 
Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.

Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.

Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.

Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.

Hiyo ni kawaida kwa watu weusi

Watu weusi popote duniani ni waharibifu na sio watunzaji

Wanajua kuharibu lakini kubuni, kuunda au kutengeneza hawajui

Hata huko USA pia wanajua kuwa watu weusi ni Wapumbavu na Waharibifu

Tazama vyoo vya public popote vilipo, Mtu yuko radhi akojoe nje ya ukuta wa choo wakati choo kipo wazi

Au wavunje sink za vyooni bila sababu
 
Miradi mingi Afrika ipo kiupigaji ....angalia SGR labda kwa uelewa wa kiwango changu ni vipi ilishindikana kufanya kituo kikuu kujengwa PUGU kuliko hizi gharama za kujengwa yale madaraja mf. Pale vingunguti,njia panda ya segerea,airport na kwingineko
Lengo ni watu kufika mjini, ukiishia Pugu inakuwa bado ni kero kwa wasafiri wengine

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwanza ni mradi wa hovyo wa JPM sawa tu na Chato Airport. Rais mwenye akili hawezi kumwaga 250 Billion kipuuzi hivyo ndani ya nchi maskini km hii wakati barabara nyingi za kuunganisha mikoa bado ni vumbi.
Acha umama dogo

Bora hizo zilizoenda hapo kuliko hizi za huyu mamayo
[emoji116]
Screenshot_20230329-152212_Telegram.jpg
 
Hata daraja la kigogo-busisi ni mradi wa ubinafsi kwasababu ni kwao. Unatumia 700 Billion kujenga kilomita 3.2? Ndani ya nchi iliyojaa shida km hii? Watanzania na vyeti vyao wanahahaha mitaani wanatukanwa kila aina ya matusi. Yule atalaaniwa mpaka vitukuu vyake
Vipi hizi umeshajua zimejenga kitu gani?
[emoji116]
Screenshot_20230329-152212_Telegram.jpg
 
Ndiyo sasa serikali ifanye marekebisho maana kodi kupita hapo darajani tunatoa
Umechanganya madesa. Kupita Tanzanite Bridge ni bure, ila lile la Nyerere Bridge la Kigamnoni ndiyo tunalipa
 
Watanzania wengi hawajali afya zao na za wengine ndio maana mtu anaendesha gari akiwa kalewa ama anazungumza kwa njia ya simu. Boda boda hawavai helmet [emoji3549], unaweza kuchukua tafadhari barabarani lakini ukasababishiwa ajali
 
Hiyo ni kawaida kwa watu weusi

Watu weusi popote duniani ni waharibifu na sio watunzaji

Wanajua kuharibu lakini kubuni, kuunda au kutengeneza hawajui

Hata huko USA pia wanajua kuwa watu weusi ni Wapumbavu na Waharibifu

Tazama vyoo vya public popote vilipo, Mtu yuko radhi akojoe nje ya ukuta wa choo wakati choo kipo wazi

Au wavunje sink za vyooni bila sababu
Donald Trump akitaka kuisema Afrika anatita shithole countries. Naona yuko sawa maana hata yule mshindi wa uRais wa Nigeria Tinubu baada ya uchaguzi kaenda USA na Europe kupumzika. Lazima tudharauliwe
 
Back
Top Bottom