Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.

Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.

Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.

Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.

Kigamboni bridge hakuna Altezza?
 
Daaah yaani kilometa 1 tuu imekula zaidi ya bilioni 240??? Wakati huo huo kuna mikoa bado haijaunganishwa kwa lami???
Hata daraja la kigogo-busisi ni mradi wa ubinafsi kwasababu ni kwao. Unatumia 700 Billion kujenga kilomita 3.2? Ndani ya nchi iliyojaa shida km hii? Watanzania na vyeti vyao wanahahaha mitaani wanatukanwa kila aina ya matusi. Yule atalaaniwa mpaka vitukuu vyake
 
Hizo chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha kingo za chuma zilivyogongwa kwenye daraja la Tanzanite linalounganisha Coco Beach na Aghakhan Hospital.

Kuna uendeshaji wa hovyo na wa kizembe unaofanyika na vijana wanaofanya mashindano wakiendesha magari aina ya Altezza.

Samia Suluhu Hassan, alizindua mnamo March 2022 daraja jipya la TANZANITE, lenye urefu wa kilomita 1.03 ambalo limetumia sh.bilioni 243 ambazo sehemu kubwa ni concessionary loan kutoka Serikali ya South Korea.

Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya vitendo hivi, wale wanaotudharau watanzania watakuwa na sababu ya kutudharau.

Cc Secret ID
 
Tutaambiwa wananchi tulinde kingo
 
Waweke zege la maana zege gumu kabisa lile wanalozungushia kwenye minara au visima vya maji kabisa sio hayo mapambo yaan inatakiwa mtu akigonga ang'oke na meno, abomoe fuvu la kichwa au avunje miguu na uti wa mgongo kabisa kabisa ili ya kwamba akiwa hospital ajifunze kuheshimu pesa za walipa Kodi
Noma 😂😂
 
Nikikumbuka mwaka 1986 nikiwa masomoni havard nilipata kutembelea brooklyn nikapita kwa lile daraja lao nikaambiwa linatimiza miaka 100 at that time, nikiangalia na hizi picha za daraja letu halina ata chrismas tatu mtaani na kila nikifikilia uharibifu unafanywa na vijana waendesha alteeza za mwaka 1996 naumia sana
 
Back
Top Bottom