Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

Kwa weledi wa watawala, unaweza shngaa wanadeal na mtoa taarifa badala ya waharibifu
 
Hujajiuliza KM 3 kujengwa kwa Bilioni 700?
Daraja la majini ni gharama sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimejiuliza na kuendelea kushangaa maana hizi priorities kwenye hii nchi wanazijua wenyewe. Juzi nilikuwa natoka Kigoma kwenda Katavi aisee hiyo barabara ilivyo haribika na hizi mvua ni balaa kabisa.
 
Hata Mkapa Stadium inatia aibu. Kiwanja hakijatimiza miaka 20 lakini uharibifu wa viti, masink ya vyoo, madirisha ni kielelezo cha UAFRIKA wetu.

Waafrika hatuna sense of value, period
Muda mrefu tu nilikuja kugundua ni kwa nini wazungu walikua hawataki ku share baadhi ya maeneo na watu weusi.., Dah, inatia uchungu sana.
 
Muda mrefu tu nilikuja kugundua ni kwa nini wazungu walikua hawataki ku share baadhi ya maeneo na watu weusi.., Dah, inatia uchungu sana.
Tuna shida kubwa sana kwenye kitu kinaitwa ustaarabu, hiyo kitu imetushinda kabisa. Angalia tuu jinsi tunavyotupa takataka hovyo, yaani hata kama kuna dustbin bado mtu atatupa chupa ya maji au juice barabarani. Kuna siku natoka Dododma kuja Morogoro jamaa aliyekuwa kwenye Bus akatupa chupa kubwa ya maji nje ya dirisha ikaenda ikagonga windscreen ya gari ndogo iliyokuwa nyuma ya bus. Dereva wa gari ndogo aliyumba nusu aangushe gari, ni bahati kwamba hakuwa mwenda mkali.
 
Bora wangepitiliza wakaliwe na papa
 
Kwa weledi wa watawala, unaweza shngaa wanadeal na mtoa taarifa badala ya waharibifu
Watawala wendawazimu wa namna hiyo walikufa tarehe 17/03/21 na kuzikwa Chato, sasa hivi waliopo wanajielewa.

Nimekumbuka Expansion Joint ya hostel za TBA pale UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…