Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

kwa kifupi sana

wakati wa kikao cha maadili kujadili report za watia nia kusomwa membe na lowasa wote walikatwa majina ...report zao zilikuwa mbaya sana..tena mbaya mno...ila ya lowasa ilikuwa mbaya zaidi kuliko.....mtu aliyeongoza kwa kuw ana alama za juu kwenye maadili ni Makongoro,magufuli, makamba, migiro na huyo amina... kamati ikaazimia kuchuku majina hayo kwa sababu walizozijua wao...baada ya mda mweneyekiti akaonekana kutoridhika na hiyo tano bora..akamwita mstaafu wa awamu ya tatu na ya pili na pia kina malecela...akalamimika kuwa tano bora yote imejaa watu ambao wao wazee wastaafu waliwataka..yeye kama mwenyekiti hana mtu...iweje tano bora awe na mtu mmoja tena mwanamke..mvutano kidogo ukatokea...mwenyekiti akapewa uhuru wa kuamua anachotaka...ndipo akasema namuondoa mmoja na kuweka mwingine...akaliondoa jina la Makongoro na kuweka la membe..wazee wastaafu wakashangaa sana ...ili amani ya yerusalemu iendelee kudumu wakakubaliana na mawazo ya mwenyekiti japo kwa shingo upande...
wakarudi chumba cha mkutano wakawaeleza wajumbe wa maadili juu ya mabadiliko hayo ...minong'ono ikatokea mle ndani..gafla mwenyekiti akafunga kikao.... na kutoka na hiyo tano bora iliyochachuliwa kwa kuondolewa makongoro na kumwingiza membe...hii ni kwa kifupi sana hivyo ndivyo ilivyokuwa...badae huko mbele nikipata mda ntaeleza kwa nini lowasa alikatwa tena kwa kutumia ''collecting ink''...

Mkuu tunasubiri hiki ulichoahidi cha mtu kukatwa.
 
Kama Bado upo hai tueleze kwanini Lowasa alikatwa !ndio wakati wenyewe huu mkuu!Kuna vitu tunapaswa kuvijua sisi wenye ndoto zetu!
 
Back
Top Bottom