Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,019
Mzee kaongea maneno mazito sana, Nina kila sababu ya kutokuwa mwanachama wa chama chochote lakini nitakuwa na wanachama wa chama chochote ninaokubali kazi zao. Mungu ibariki Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro wewe kama mtanzania mwema uliwahi kutoa taarifa hii kwenye chombo chochote chenye mamlaka ya kushughulikia maovu haya au umechukizwa tu na taarifa ya mzee kingunge?
Yana uzito gani maneno yake? Anataka kutuambia mchakato wa kumpata Maghufuli haukuwa halali?Mzee kaongea maneno mazito sana, Nina kila sababu ya kutokuwa mwanachama wa chama chochote lakini nitakuwa na wanachama wa chama chochote ninaokubali kazi zao. Mungu ibariki Tanzania.
Kama Mzee Lowasa siyo fisadi anashindwa nini kuweka wazi kila kitu na badala yake amekuwa mkimya, ameridhika kuitwa fisadi na amewaacha watu wamsemee hii imekaaje sasa?!
Ni kweli...alichofanyiwa EL si sahihi ila hiki kitendo huitwa "Necessary Evil"....ilikuwa haiepukiki kwa maslahi mapana ya taifa...full stop
Kama Nina kumbukumbu sahihi nadhani kwenye bunge la katiba kingunge alitoa mchango wenye busara nyingi tu
Mchango gani aliotoa huyo babu?
Wamfukuze kama yule Mzee Moyo wa Zanzibar.....................!!!
KIngunge na kadi yake No. 8 hajui kuwa hakuna Haki ndani ya CCM!!? Siku zote serikali ya CCM huwa inafanya mabo yake kihivyo, ndani na nje ya chama. Wanapofanyiwa wapinzani ni sawa....... Lowasa siyo sawa!! What the hell!!