Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Bro usiwanange wasomi kwa matatizo ya watu binafsi. Dunia ya leo elimu muhimu sana. Kama unalidhika kuongozwa na watu jamii ya kingwendu basi nina wasiwasi na kichwa chako.
Usitumie kichwa kuoteshea nywele tu.
hao wasomi na wenye elimu wamefanya nn kwny taifa jili?
Ukitaka kufanikiwa kisiasa kwenye hii nchi yangu jaribu kudeal na kundi la wapumbavu kwasababu ndio wengi na watakuunga mkono bila kuhitaji uwezo wako wa akili.
Je kama wasomi hakuna walilofanya ndo iwe sababu ya kuwapa dhamana wajinga?
Hivi hamuwezi kuchangia hoja bila kutibua nyongo za wana Arusha mjini na Mbeya mjini.......
Ntampa kura yangu, huu ushakua utani sasa, imagine bunge la kingwendu, afande sele, diva, mrisho mpoto,
Bro usiwanange wasomi kwa matatizo ya watu binafsi. Dunia ya leo elimu muhimu sana. Kama unalidhika kuongozwa na watu jamii ya kingwendu basi nina wasiwasi na kichwa chako.
Usitumie kichwa kuoteshea nywele tu.
Afadhali Kingwendu awe mbunge kuliko wasomi wa vyeti hawa. Waoga zaidi ya kunguru na hawana hoja, kazi kukipendekeza na kuunga mkono hoja hata kama hawajui hoja gani.