Kingwedu "nimejipanga vya kutosha kuingia bungeni 2015"

Kingwedu "nimejipanga vya kutosha kuingia bungeni 2015"

Bro usiwanange wasomi kwa matatizo ya watu binafsi. Dunia ya leo elimu muhimu sana. Kama unalidhika kuongozwa na watu jamii ya kingwendu basi nina wasiwasi na kichwa chako.

Usitumie kichwa kuoteshea nywele tu.

hao wasomi na wenye elimu wamefanya nn kwny taifa jili?
 
Itabidi jengo la bunge liongezewe chemba ya kuvutia bangi,bila hivyo Kingwendu atapata shida ya kuvuta bangi yake
 
Kweli wametuchoka au kasikia kiinua mgongo 160m kaona rahiiisi.Ila akigombea kwa wazaramo wenzake sio ajabu watampa.
 
Ukitaka kufanikiwa kisiasa kwenye hii nchi yangu jaribu kudeal na kundi la wapumbavu kwasababu ndio wengi na watakuunga mkono bila kuhitaji uwezo wako wa akili.

Hivi hamuwezi kuchangia hoja bila kutibua nyongo za wana Arusha mjini na Mbeya mjini.......
 
ii serikali ya ccm imefanya vtu kuonekana virahisi sana cku izi mpaka machizi na makahaba nao wanataka kuwa wabunge.hii yote sababu wamemuona sugu na wenyewe wanataka.mimi kama mimi hata niwe nimerogwa cwezi ongozwa na hawa wapuuzi.
 
Kama kikwete ameweza kuongoza nchi kwanini Kingwendu ashuindwe? hii nchi chochote kiongezeke bei wananchi wanasema hewara... siku inaisha jamaa karibu anamaliza miaka yake kumi bila kusumbuliwa na wala kuona tatizo kwa kila maajabu ayafanyayo... Wananchi ndio vilaza nadhani...
 
Je kama wasomi hakuna walilofanya ndo iwe sababu ya kuwapa dhamana wajinga?

hata rorya walipo ona prof Sarungi hana jipya kwao wakampa ubunge lairo ambae hana elimu ya kutosha. Kumpa kingwendu ni nafuu kuliko hawa wanaojiita wasomi wasio na faida kwa jamii.
 
sioni tofauti kati ya kingwendu na mrs jafarai kule east africa
 
Ntampa kura yangu, huu ushakua utani sasa, imagine bunge la kingwendu, afande sele, diva, mrisho mpoto,

Umesahau majuto nae muheza,dah kweli Mungu anipe uhai nijionee vituko
 
Msanii wa Maigizo Nchini RASHID MWINSHEHE maarufu Kama "KINGWENDU" amesema anajiandaa Kugombea Ubunge 2015 Kupitia Chama Kinachopendwa na Wengi ndani ya Jimbo ambalo amesema atalitaja hapo baadae Wakati utakapowadia. Chanzo:Tanzania Daima la leo 07/02/2014.
 
Hapo itakuwa anataka kugombea kwa kupitia CCM ili akaongeze idadi ya wagonga meza.

Ila sijui jimbo gani ataliwakilisha.
 
Bro usiwanange wasomi kwa matatizo ya watu binafsi. Dunia ya leo elimu muhimu sana. Kama unalidhika kuongozwa na watu jamii ya kingwendu basi nina wasiwasi na kichwa chako.

Usitumie kichwa kuoteshea nywele tu.

Tofauti ya wasomi na watu binafsi ni nini? Hakuna ambaye hajui umhimu wa elimu dunia ya leo, tatizo wasomi wanavyoshindwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya umma.
 
Afadhali Kingwendu awe mbunge kuliko wasomi wa vyeti hawa. Waoga zaidi ya kunguru na hawana hoja, kazi kukipendekeza na kuunga mkono hoja hata kama hawajui hoja gani.

Kabisaaa!Tena itakuwa bora kama VYUO vya viwango mbalimbali vitafungwa,Wasomi walioko kwenye nafasi mbalimbali za uongozi waachishwe kazi maana wao ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii kisha tuwaweke akina Kingwendu,Afande Sele,Ray C,Diva,Wema,Diamond,Juma Nature,Hemed,Joti,Mpoki,Bambo,Wolpa,Ray,Aunt Ezekiel,nk.Hapo unasemaje Mkuu?Does it sound sarcastic?With creative people like you no wonder our Country has become a cess-pool now a days!
 
Back
Top Bottom