GE2025 Kinje: Unaonya wananchi kuhusu maandamano. Na wao wakikupa Onyo je?

GE2025 Kinje: Unaonya wananchi kuhusu maandamano. Na wao wakikupa Onyo je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kinje Kingunge Ngombare amesema viongozi wanatoa maonyo kuhusu maandamano je raia nao wakitoa onyo itakuwaje.

Kinje amesema hayo kukemea gabia za wakuu wa wilaya na mikoa ambao huto maonyo kwa raia.

Amesema kama yeye akiwa Rais, mkuu wa wilaya au mkoa akitoa onyo kwa wananchi lazima amuwajibishe.
 
Back
Top Bottom