Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Wachambuzi wa JF mnafurahisha!
 
Hoja yako ni nyepesi sana... Unaanza vipi kumringanisha mtu mwenye sare amaye amepitia mafunzo ya silaha na raia wa kawaida???

Kuanzia hapo tu ndipo ulipoonyesha udhaifu🚮🚮
 
Wewe ndio huna akili.

Polisi wanne wamefariki.

Kwa hiyo huyo msomali alienda kuwaomba hao polisi waliokufa hizo silaha au siyo?

Akili pumba kabisa!
 
A racialist like you, can not be a "Father of All". Please find another name to suit your racial explosions! Kilangila.
 
Ni jambo la kheri sana hawa Polisi wanaoitumikia CCM badala ya wananchi kuendelea kuuawa.Mungu bariki sana yule gaidi.
View attachment 1908590
View attachment 1908624
ndio maana tunasema siku zote Polisi wasiwachekee CHADEMA hawa jamaa nia yao ni mbaya kwa Taifa letu, hawa jamaa wanafurahia vitendo vibaya dhidi ya askari wetu na kwa nchi, walifurahia na kushangilia kufuatia kifo cha JPM n.k, hawa jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo, hawa jamaa hawafai hata kuongoza serikali ya mtaa.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama badilikeni, hawa watu ni wahuni walio jificha kwenye chama.
 
kweli usilolijua ni kama usiku wa giza, kuna mama mmoja nimemsikia anasema jamaa ALIKUA ANAONGEA KIISLAMU, sijui ndio lugha gani hiyo!!!? Anyways ya Mungu ni mengi.
Ahahahahahaha we una lako jambo,ngoja waje utakoma
 
Ukiwa Gaidi ni lazima uwe na kundi ?? ,Au sa nyingine mkijisikia kuongea mnaongea tu hata vitu visivyo na maana
 
Gaidi kutoka CCM!🤡🤡🤡

 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.

kama aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi?! vipi hao wafuasi wasio jitambua?! huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi.ya serikali.
uovu ni uovu tu.
 
Daah jamaa em tumia akili basi, kwahy jumla ameua polisi wangapi.? Mana pale walipokuwa wanashambuliana aliua jumla wanne sasa em nambie na hao wengine walionyang'anywa silaha walikuwa wangapi na wameuawa wangapi.?
Tatizo lako ni mjuaji Sana. Basi angalau ungeangalia kwanza hizo video au sikiliza maelezo ya mashuhuda
 
Si huwa kuna askari muda mwingi hapo kwenye kona ya kuelekea Masaki?

Hata Usalama wa Taifa si mbali sana hapo, kituo cha polisi Selander kipo karibu pia, hapo nyuma nyumba za O'bay kuna wastaafu kadhaa wa JWTZ
Walinda usalama wameonesha udhaifu mkubwa; huyu mhusika ametangaza ufalme kwa muda marefu, aidha, hakupaswa kuuawa. Alitakiwa akamatwe ili kupata taarifa muhimu ikiwemo motive ya tukio
 
Siwachoshaje watu wakati bado cjapewa majibu ya maswali yangu.? Ingekuwa mtu amenijibu lkn bado nikaendelea kuuliza hapo ndo ungesema nachosha watu
Tafuta habari aisee badala ya kupoteza muda wako kuuliza maswali ambayo watu wanayapuuza
 
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
Sio gaidi ,huyo alikuwa kada wa ccm,ni mfanyabiashara wa madini,polisi walimkamata na madini,kwa tamaa zao wakataka kumdhurumu,akawawahi akawachapa risasi,akachukua hizo A47 mbili akaanza kurusha risasi.
Angekuwa gaidi lile basi lililokuwa na abiria mbona hakulishambulia kwa risasi?
Gaidi siku zote anaua watu wengi Ili imapct iwe kubwa.
 
Inawezekana jamaa ni gaidi,au kweli kadhulumiwa akaamua kulipiza kisasi,hakuna kitakachojulikana hapa maana jamaa kauliwa.

Ila nawaasa polisi wetu punguzeni uonevu,RAIA wanawachukia sana.
 
Kuwe na tume huru ya uchunguzi bila kuhusisha polisi. Jamaa kaonewa na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…