Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wachambuzi wa JF mnafurahisha!Mkuu wacha kutetea mapolisi...! Jamaa yuko kwenye cross fire lakini yanamkosa yanapiga chini, mengine yapo kwenye range kabisa jamaa anatembea wala hajifichi na yanamkosa! Risasi kibao zinapigwa kama hawana mafunzo 🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️