Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kama kweli alifanyiwa dhuluma, jamaa kaamua kiume kweli kweli! Jamaa aliamua afanye "kitu" ambacho kinaenda kuamsha mtazamo mpya katika jamii. "Akunyang'anyae kanzu mwachie na joho pia".
 
Hamza ni mfano wa kuingwa kwa sisi wenye makabila ya ki-bantu, kupigania haki yako ni sehemu ya ushujaa, tuache uoga, unafiki na kujipendekeza, mtu anakupora mali yako halali una muacha unasema tu basi ya ishe eti wote tutaviacha!!! shezi kabisa
 
Uchukue pesa yangu ndefu uchukue na madini yangu juu kizembezembe tu wakati nimevitolea jasho hata mimi nakutoa roho,Hamza ni shujaa na kaonyesha msimamo kwenye jamii kila mtu anajua polisi wengi hawaridhiki na mishahara yao ni wezi.
 
Eti kafa kishujaa ? Kwa vipi labda?

Kaua na yeye kafa ameacha maisha matamu watu wanafurahia Neema ya uhai walopewa na Mwenyezi Mungu.

Watu wanafurahia kula ugali, wali kwa samaki, kuku, nyama, majani n.k

Watu wanafurahia kula mbususu n.k

Kuna siri kubwa sana katika uhai wa mwanadamu kuhusika kuondoa uhai wa mwanadamu mwenzio ni laana kubwa sana !
 
Sasa kama mtu anasoma dini halafu anafanya uovu mkubwa wa mauaji kiasi hicho hiyo dini imemsaidia nini yeye na jamii kwa ujumla?

Si ni hasara hiyo sasa?!

Bora kuwa Mpagani basi ijulikane moja!
 
Sasa kama mtu anasoma dini halafu anafanya uovu mkubwa wa mauaji kiasi hicho hiyo dini imemsaidia nini yeye na jamii kwa ujumla?

Si ni hasara hiyo sasa?!

Bora kuwa Mpagani basi ijulikane moja!
dah
 
Work done is equal to zero.
 
Wale wadau wasuoamini ktk hofu ya mwenye pumzi wanafurahia kuja kutafuna mbususu ya mjane wa Gaidi [emoji16][emoji847]
 
Sasa kama mtu anasoma dini halafu anafanya uovu mkubwa wa mauaji kiasi hicho hiyo dini imemsaidia nini yeye na jamii kwa ujumla?

Si ni hasara hiyo sasa?!

Bora kuwa Mpagani basi ijulikane moja!
Bora kuwa mkristo tena Mlokole kama Gwajima
 
Hamza kawashambulia na kuwauwa askari na kuchukua silaha zao mbili. Askari hao kwa Hamza walikuwa SOFT TARGET. Hamza kwa weledi mkubwa anatumia silaha vizuri kama askari mwenye mafunzo anayejua atendalo. Hamza anaenda ama anaelekea ubalozi wa Ufaransa!?. Inashangaza lakini ngoja kidogo- Kampuni ya Kifaransa Total inavurugwa na magaidi kule Msumbuji na inasemekana kuwa Ufaransa ineiomba Rwanda kwenda kusaidia kupambana na magaidi hao huko Msumbiji- kwa hiyo Ufaransa ni TARGET HALALI na ubalozi wa Ufaransa unaweza kuwa SOFT TARGET.
Magaidi walivamia na kushambulia mpakani wa Tanzania na Msumbiji na askari wetu wakawashughulikia sana; kwa kufanya hivyo ni TARGET HALALI na siyo halali tu bali SOFT TARGET.
HAMZA NI ZAIDI YA HAMZA

NIMEWAZA TU KWA KUTUMIA MILANGO YA FAHAMU +
 
Uchukue pesa yangu ndefu uchukue na madini yangu juu kizembezembe tu wakati nimevitolea jasho hata mimi nakutoa roho,Hamza ni shujaa na kaonyesha msimamo kwenye jamii kila mtu anajua polisi wengi hawaridhiki na mishahara yao ni wezi.
Mali inatafutwa, inapatikana na inapotea. Hakuna mbadala wa UHAI.

Yawezekana naye hakuipata kwa njia halali
 
Kama kuna risasi iligusa ukuta au geti la Ubalozi wa Ufaransa basi hizo ni risasi za askari wetu. Hamza alienda kwenye kibanda cha mlinzi wa ubalozi kwa ajili ya ku take cover tu na hata kitendo cha askari wetu kumrushia risasi na mabomu ya machozi pale bila ya kuwasiliana na Ubalozi hilo ni kosa kubwa kidiplomasia, msione wamekaa kimya.

Hakikisheni Familia ya Hamza inalipwa haki zote za hamza alizodhurumiwa.

Msihamishe Magoli
 
Hebu tuanzie pale kuwa, bunduki mbili zile za maaskari alizipataje? Je, ni kweli maaskari wetu walikuwa soft na kumruhusu awanyang'anye hizo bunduki kibwege bwege? Jibu ni hapana, aliwashtukizia ghafla na kuwa shoot...hata ingekuwa wewe lazima ungepigwa risasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…