Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

HUYUUUU JAMAA SHABIKI MKUBWA WA ARSENAL YAAN ULE MOTO WA WASHIKA BUNDUKI NDCHO ANAFANYA ARSENAL HUKO HT 0-4 LOH
 
Scenario inayosemwa ni kuwa zile silaha alinyang'anya maaskari baada ya kutaka kumwonea kimakosa, haya mambo yanafanyika sana hasa wale wanaitwa tigo wanaozunguka na pikipiki ni washenzi sana wale. Hapo mtambambika kesi kuwa alishirikiana na gaidi walioko Zambia kwa sababu mnajua hawezi ongea lakini damu yake itawa hunt mmoja baada ya mwingine na hamtatoboa!!
 
Ilitakiwa ashambuliwe viungo vyake ili ahojiwe ijulikane chanzo..
Maana kama ni gaidi basi mzizi wa ugaidi hautafahamika mapema na kuweza kuudhibiti.

Hapo ndio walakini inapokuja...kwa nini wamemshoot kabla ya kupata taarifa kutoka kwake polisi watapataje taarifa za kikundi kilicho nyuma yake?
 
Ni tukio la kushangaza na lenye maswali mengi kwa sasa hivi hakuna ajuae Ukweli ngoja tusubiri taarifa ya jeshi la polisi. Mpaka muda huu tayari ndugu wa Bwana Hamza wamechukulia wako polisi kwa mahojiano zaidi.

Lakini tujiulize
1. Hamza ni nani ?
2. Ni raia wa Nchi gani ?
3. Anafanya Kazi gani ?
4. Kama tukio hili tutaliweka kwenye kundi la Ugaidi tujiulize kwanini shumbulio lake liliwalenga Askari polisi pekee licha kuwa na nafasi ya kuwadhuru raia waliokuwepo karibu nae mfano kwenye Daladala.
4. Ukitazama vizuri baadhi ya video utaona jamaa alikuwa anashambulia na kukwepa (swali) mafunzo haya aliyapata wapi au tuseme ameiga kwenye Movie??
......................
Huo ni Upande mmoja wa maswali lakini Kuna upande mwingine umejaa tetesi kwamba huyu Bwana Hamza ana mgodi huku Chunya mkoani Mbeya ambao waliachiwa na Marehemu Baba yao. Tetesi hizi zinadai kwamba siku ya tukio Bwana Hamza alikuwa kwenye mipango ya kufanya Biashara ya Madini na suala hili Kuna maafisa wa jeshi la polisi walikuwa wanalijua sasa basi Kuna kitu cha ajabu Sana kikatokea na kukwamisha hiyo biashara. Ni kitu gani hicho ngoja kwanza jeshi la Polisi limalize Kazi yake May be litatueleza ukweli narudia tena May be.

REJEA.
Nenda kwenye Post za Millard Ayo (Instagram) Kuna Dereva tax anaefanya shughuli zake karibu na nyumbani kwa Akina Hamza amekiri ni kweli Hamza na ndugu zake wengine waliachiwa Mgodi huku Chunya mkoani Mbeya na Marehemu Baba yao.

Lakini pia Kuna kipande cha ujumbe amekipost Le Mutuz nitakiweka hapa ili uunganishe matukio.

Swali la Mwisho. Hamza ni kichaa au ana tatizo la Akili ??
Siku chache zilizopita Kuna watu walikamatwa na Madini feki huko Dar es laam. Please hii nayo usiiweke mbali ukianza kuunganisha matukio

Screenshot_20210825-234325.png
 
Ngojeni uchunguzi huru ufanyike. Kumbe aliyedhulumiwa ni baba yake? Msomali anapewa migodi Tanzania? Kwanini hakwenda kwenye vyombo vya dola au kuwashughulikia wabaya wa baba yake? Je huyo mlinzi aliyeuawa naye alikuwa na kosa gani? Ugaidi kwa tafsiri ya haraka ni kusababisha terror kwa wengine. Hivyo, alichofanya ni ugaidi na walichokuwa wamefanya polisi kama ni kweli ni dhuluma.
 
Ni tukio la kushangaza na lenye maswali mengi kwa sasa hivi hakuna ajuae Ukweli ngoja tusubiri taarifa ya jeshi la polisi.
Mpaka muda huu tayari ndugu wa Bwana Hamza wamechukulia wako polisi kwa mahojiano zaidi.
Lakini tujiulize
1. Hamza ni nani ?
2. Ni raia wa Nchi gani ?
3. Anafanya Kazi gani ?
4. Kama tukio hili tutaliweka kwenye kundi la Ugaidi tujiulize kwanini shumbulio lake liliwalenga Askari polisi pekee licha kuwa na nafasi ya kuwadhuru raia waliokuwepo karibu nae mfano kwenye Daladala.
4. Ukitazama vizuri baadhi ya video utaona jamaa alikuwa anashambulia na kukwepa (swali) mafunzo haya aliyapata wapi au tuseme ameiga kwenye Movie??
......................
Huo ni Upande mmoja wa maswali lakini Kuna upande mwingine umejaa tetesi kwamba huyu Bwana Hamza ana mgodi huku Chunya mkoani Mbeya ambao waliachiwa na Marehemu Baba yao. Tetesi hizi zinadai kwamba siku ya tukio Bwana Hamza alikuwa kwenye mipango ya kufanya Biashara ya Madini na suala hili Kuna maafisa wa jeshi la polisi walikuwa wanalijua sasa basi Kuna kitu cha ajabu Sana kikatokea na kukwamisha hiyo biashara. Ni kitu gani hicho ngoja kwanza jeshi la Polisi limalize Kazi yake May be litatueleza ukweli narudia tena May be.
**********
REJEA.
Nenda kwenye Post za Millard Ayo (Instagram) Kuna Dereva tax anaefanya shughuli zake karibu na nyumbani kwa Akina Hamza amekiri ni kweli Hamza na ndugu zake wengine waliachiwa Mgodi huku Chunya mkoani Mbeya na Marehemu Baba yao.

Lakini pia Kuna kipande cha ujumbe amekipost Le Mutuz nitakiweka hapa ili uunganishe matukio.

Swali la Mwisho. Hamza ni kichaa au ana tatizo la Akili ??
Siku chache zilizopita Kuna watu walikamatwa na Madini feki huko Dar es laam. Please hii nayo usiiweke mbali ukianza kuunganisha matukio

View attachment 1908534
NImeonaa JAMAA MMOJA KATOA.MAWAZO KAMA HAYA PIA AKASEMA KAMA SIO DHULUMA BASI NDUGU ZAKE WAMEMCHEZEA ILA.UKWELI UTAWEKWA HADHARANI??
 
Wote walioshirikiana naye au kuwasiliana kabla ya tukio wanafaa kuchunguzwa.Labda tayari Kuna underground network ya magaidi ( sleeper cell)
 
JAMAAA WANA MGODI WA MADINI CHUNYA AISEE NN KILIMSIBU
 
Back
Top Bottom