Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Naunga hoja inaonekana hatuna level nzuri ya kupambana na matukio hayo angekuwa ametarget raia ingekuwa na madhara makubwa sana.

Nusu saa jamaa anatamba mitaa yenye ofisi nyeti na milio ya risali inasikia bila hatua yoyote kuchukuliwa...
Wana mafunzo na ndio sababu hawakumuingia hovyo hovyo, walisoma mazingira na hatua za kuchukua.
 
Hizi habari zimetangazwa Reuters. Zimetangazwa na Al Jazeera kwa hiyo lands ndiyo zimekuwa inspiration kwa bomb lililolipuka jana Afghanistan na kuua watu zaidi ya 60.
 
That's not well done for the Police Force.
Walitakiwa wamkamate ili wamfikishe kwa Pilato ili kumjua yeye ni nani na waliomtuma ni kina nani! Ukimwua mhalifu hakuna kesi hapo
Ni kweli kabisa, kwani kama kuna kundi kubwa nyuma yake, watajipanga upya, au tayari wamekwishajua udhaifu wa polisi. Pia kama alirushiwa bomu la majozi, wakati mwingine kama wapo wengi watavaa teargas masks.
 
FB_IMG_16300450999919908.jpg


Katika hili saga nimeshindwa kabisa nisimame upande upi, wakati mwingine naumizwa sana na wale Askari vijana waliopoteza maisha

Wakati mwingine nimimfikiria Muuwaji roho inaniuma sana, dah kwanini lakini Hamza aliamua iwe hivyo?

Hamza alilogwa?

Alichanganyikiwa?

Migodi yako umeamua uiache?

Fedha zako zote umeamua uziache?

Familia yako na washkaji umeamua uwaache?

Kwanini hata hukuomba ushauri kwa watu, mbona sasa sasa umesababisha Loss maradufu?

Wakati mwingine huwa kuna hatua Binadamu ukishafikia hali fulani unaamua lolote na liwe ila dah ameniumiza sana Hamza.

Poleni kwa wote mlioguswa

Pumzika kwa Amani Hamza😭😭😭
 
Ni kweli kwamba chama chetu cha mapinduzi kimempoteza kada muhimu sana ambaye kwa kweli pengo lake ni vigumu kuzibika kwa wepesi..

Mungu alitoa......
 
Mi nimesikitika sana kijana alikua na umri mdogo sana pamoja bright future mbele, alikua anajichanganya na kila aina ya watu, kwenye siasa alikua anajichanganya sambamba na kujichanganya kusaidia vijana wenzake. Anaonekana alikua hajiweki nyuma kwenye jambo lolote lile la maendeleo na kiraia. Pia anaonekana alikua mtu mcheshi sana (angalia hio picha mwandishi wa uzi alioweka kijana akiwa na hao wamama).

Hili swala la huyu kijana kufanya hayo aliofanya liundiwe tume huru kuchunguza. Nina amini halina uhusiano wowote na ugaidi au chuki binafsi, kuna siri kubwa sana nyuma ya tukio aliofanya.

Maswali ya kujiuliza;

1) Kwanini haku hangaika na kudhuru raia wenzake? Alihangaika na police tu.

2) Kwanini hakuenda kwenye mall supermarket au kwenye mikusanyiko ya raia wengi na kuleta maafa? Na alikwenda moja kwa moja kwenye vibanda vya askari.

3) Kwanini alikua ni mtu wa kupambana kimaisha na kujichanganya na watu wa kada tofauti tofauti uraiani? Na ni ghafla akafanya hilo tukio.

4) Vijana wangapi nchini wamesha dhulumiwa/kutapeliwa/kubambikizwa kesi au makosa/kuombwa rushwa na askari police?

5) Vijana wangapi wamepata ulemavu au wamepoteza maisha mikononi mwa police, iwe mahabusu au mtaani?

6) Raia wangapi wamefilisiwa biashara zao na police?

Relatioship; Kati ya raia/wafanyabiashara/vijana na askari police ni wazi sio nzuri nchini kwetu.

Katika vijana/raia/wafanyabiashara mia moja (100) ukiwauliza wanawachukuliaje askari police au wana historia gani nao. Basi majibu watakayo kupatia utashangaa.
 
View attachment 1910742

Katika hili saga nimeshindwa kabisa nisimame upande upi, wakati mwingine naumizwa sana na wale Askari vijana waliopoteza maisha


wakati mwingine nimimfikiria Muuwaji roho inaniuma sana, dah kwanini lakini Hamza aliamua iwe hivyo?

Hamza alilogwa?

Alichanganyikiwa?

migodi yako umeamua uiache?

fedha zako zote umeamua uziache?

familia yako na washkaji umeamua uwaache?

kwanini hata hukuomba ushauri kwa watu, mbona sasa sasa umesababisha Loss maradufu?

wakati mwingine huwa kuna hatua Binadamu ukishafikia hali fulani unaamua lolote na liwe ila dah ameniumiza sana Hamza,

Poleni kwa wote mlioguswa

Pumzika kwa Amani Hamza😭😭😭
Mbona kwenye zipu kuna kama tobo la risasi vip
 
Back
Top Bottom