johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja aje Zitto Kabwe wa Mkiru!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu uzi hauna maanaHamza kawashambulia na kuwauwa askari na kuchukua silaha zao mbili. Askari hao kwa Hamza walikuwa SOFT TARGET. Hamza kwa weledi mkubwa anatumia silaha vizuri kama askari mwenye mafunzo anayejua atendalo...
Ooh yes umeongea vyema sana hapo as far as International Relations on Diplomatic Relations and Immunities is concerned.Kama kuna risasi iligusa ukuta au geti la Ubalozi wa Ufaransa basi hizo ni risasi za askari wetu. Hamza alienda kwenye kibanda cha mlinzi wa ubalozi kwa ajili ya ku take cover tu na hata kitendo cha askari wetu kumrushia risasi na mabomu ya machozi pale bila ya kuwasiliana na Ubalozi hilo ni kosa kubwa kidiplomasia, msione wamekaa kimya.
Hakikisheni Familia ya Hamza inalipwa haki zote za hamza alizodhurumiwa.
Msihamishe Magoli
Hamza mwanaume Sana , Kazi ya madini ni ngumu Sana , sisi tunaifahamu tunayoifanya unaweza pata kilo ya Dhahabu let say milioni 120 Lakini waweza kuta unadaiwa milioni 90 halafu ajitokeze polisi akunyang'anye hata mim Siwezi kukubali naua polis yoyote anae kuja mbele ,, jamaa alikuwa na migodi mbeya hata mashuuda wanasema alikuwa mtu poa Sana, sema tamaa ya polisi , hata Kama alitoka na Dhahabu mbeya kwa nin asikamatwe badala ya kumnyang'anyaHamza kawashambulia na kuwauwa askari na kuchukua silaha zao mbili. Askari hao kwa Hamza walikuwa SOFT TARGET. Hamza kwa weledi mkubwa anatumia silaha vizuri kama askari mwenye mafunzo anayejua atendalo. Hamza anaenda ama anaelekea ubalozi wa Ufaransa!?...
najaribu kufikiri tu kama Hamza angekwenda ubalozi wa Marekani pale kibandani, Je Askari wetu wangethubutu kurusha mabomu ya machozi kumtoa? wafaransa mnakwama wapi.Kama kuna risasi iligusa ukuta au geti la Ubalozi wa Ufaransa basi hizo ni risasi za askari wetu. Hamza alienda kwenye kibanda cha mlinzi wa ubalozi kwa ajili ya ku take cover tu na hata kitendo cha askari wetu kumrushia risasi na mabomu ya machozi pale bila ya kuwasiliana na Ubalozi hilo ni kosa kubwa kidiplomasia...
nasikia walikula mzigo wa jamaa, tena mkubwa balaa!!Msihamishe magoli,tunataka kujua polisi gani walimdhulumu Hamza na kupelekea polisi wasio na hatia kulipia gharama!
Nakumbuka nikiwa nje ya nchi ilikua ikitokea siku umeenda ubalozin yaan unajiona kabisa vile uko tanzania! Unajisikia huru sana na amani! Unakua na furaha mnoo kuniona uko nchini kwako!Ooh yes umeongea vyema sana hapo as far as International Relations on Diplomatic Relations and Immunities is concerned...
Kwa mkataba wa Vienna - Vienna Convention on Diplomatic Relations wa tarehe 18. 04.1961 ulioanza kutumika tarehe 24.04.1964 ambao na sisi tulisaini hilo ni kosa kubwa sana kwasababu; Ndugu wa Hamza wanaweza kushitaki na pia Ubalozi unaweza kushitaki pia na mshitakiwa akawa ni mmoja!!najaribu kufikiri tu kama Hamza angekwenda ubalozi wa Marekani pale kibandani, Je Askari wetu wangethubutu kurusha mabomu ya machozi kumtoa? wafaransa mnakwama wapi.
Huwa nawaona mafala wale ambao wakidhulumiwa huwa wanakimbilia kujiua.PolisiCCM walikutana na mbabe wao.
Hamza mmoja kawatoa kijasho, wakiendelea na uonevu wao iko siku watakutana na akina Hamza 10000
Pia na Hamza DayHamna cha kuongeza zaidi ya mchango kumjengea mwamba mnara.
Comte unarukaruka kama maharage yanayokaribia kuiva,weed umakuwa muungaji mkono wa wale mashujaaa wa kubambikia na kuonea,tupe msimamo wako ni upi hivi sasa.?Hamza kawashambulia na kuwauwa askari na kuchukua silaha zao mbili. Askari hao kwa Hamza walikuwa SOFT TARGET. Hamza kwa weledi mkubwa anatumia silaha vizuri kama askari mwenye mafunzo anayejua atendalo. Hamza anaenda ama anaelekea ubalozi wa Ufaransa!?. Inashangaza lakini ngoja kidogo- Kampuni ya Kifaransa Total inavurugwa na magaidi kule Msumbuji na inasemekana kuwa Ufaransa ineiomba Rwanda kwenda kusaidia kupambana na magaidi hao huko Msumbiji- kwa hiyo Ufaransa ni TARGET HALALI na ubalozi wa Ufaransa unaweza kuwa SOFT TARGET.
Magaidi walivamia na kushambulia mpakani wa Tanzania na Msumbiji na askari wetu wakawashughulikia sana; kwa kufanya hivyo ni TARGET HALALI na siyo halali tu bali SOFT TARGET.
HAMZA NI ZAIDI YA HAMZA
NIMEWAZA TU KWA KUTUMIA MILANGO YA FAHAMU +
Vessel subiri uchunguzi ila akili inanituma hukoComte unarukaruka kama maharage yanayokaribia kuiva,weed umakuwa muungaji mkono wa wale mashujaaa wa kubambikia na kuonea,tupe msimamo wako ni upi hivi sasa.?
Hao askari waliouawa ni wengi! Wapumzike kwa amani [emoji1431][emoji1241] [emoji1431]