Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Wamejaa tele kila mahali lakini unashangaa chawa wa CCM wanajifanya bunge la ulaya linatetea mashoga kumbe serikali ya huku yenyewe inawatunza kabisa πŸ˜„
Wapo wengi ukitaka kujua sehemu za uswahilini zenye birthday, sjui mwali nn huko unakuta wamekata mpk sare, make up na sura zao sasa, ukimkazia sura tuu πŸ˜‚ umekwisha
 
ni hatari, najiulizaga hv hawa watuvwana wazazi au familia zao kweli?
Tena wengi wanatokea hapa hapa dar kwenye nyumba za urithi aani, wengine wamepanga, lkn wengi wana masaluni ya mekapu, urembo na vitu vya mamanzi ko wanafanya vitu ambavyo kupata hela inakuwa rahisi lkn vijana wanalika so mchezo aseeh.... Kuna sites zao oyaah ni htree tupu
 
Na shida nyingine kubwa ni uwepo wa walaji,
 
Bunge la ulaya kupitia CHADEMA linataka watanzania wote kuwa hivyo, katika maazimio yao sita!
 
Mtaa tafadhali tukajionee wenyewe.
 
Wanafedhehesha sana, Kuna siku nilikuwa hotel fulani walikua na party yao Astaghfilullah πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Ahaha nimewahi kaa apo Mwananyamala A yani kutofautisha mtoto binti na mama kazi wote full dela bila kyupi ndani
Mambo ya uswahilini hayo, dela anachomekea shanga, ni balaa na robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…