Nimechomekea tu MkuuMkuu you're more than this.
Hii naichukulia kama sarcasm..
Kuna nn huko? TujuzeInategemea unakaa kinondoni gani
Ila kuna sehemu inaitwa sogodo iko msisiri huko ni dunia nyingine
Nyie watu wa media nendeni mkafanye documentary
Ova
😂😂😂😂Dsm kwa ujumla imeoza huko kinondoni nilionyeshwa mmoja ni mweupe mwili mzima kavaa kinjunga kwa mtu mwenye mwili kitakaa km boxer
Basi kajiinamia anachat sjui anafanya nn kwenye simu, sikummaliza wallah
Kibaya zaidi ni kujifanya ni wanawake totally
Afu wanachamba hao oooh, na walivyo ungua kwa karolaiti afu wengi wa mabwabwa ni weusi wanafosi weupe😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Wamejaa tele kila mahali lakini unashangaa chawa wa CCM wanajifanya bunge la ulaya linatetea mashoga kumbe serikali ya huku yenyewe inawatunza kabisa 😄
😂😂😂😂😂Wapo wengi ukitaka kujua sehemu za uswahilini zenye birthday, sjui mwali nn huko unakuta wamekata mpk sare, make up na sura zao sasa, ukimkazia sura tuu 😂 umekwisha
😂😂😂😂😂 shida ya Gays wengi hasa bottoms ni kutokua na Elimu.Afu wanachamba hao oooh, na walivyo ungua kwa karolaiti afu wengi wa mabwabwa ni weusi wanafosi weupe
Kwenye shughuli wamejaa na wanamapozi ukiwaona TikTok huko astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu😂😂😂😂😂
Wana fedhehesha kivipi? Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wasio wahusu. LolWanafedhehesha sana, Kuna siku nilikuwa hotel fulani walikua na party yao Astaghfilullah 😥😥😥
😂😂😂😂😂Kwenye shughuli wamejaa na wanamapozi ukiwaona TikTok huko astakafirullah astakafirullah msiba mzito huu
Pombe,uzinzi kila kituKuna nn huko? Tujuze
Maadili ni mtu alivojengeka sio mazingiraAisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi.
Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa.
Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru, vijana wa kiume wamejipodoa hawana shida yoyote, wamevaa vikaptura wanatembea kwa kukatika kama dada zao. Na ni group la vijana kama wanne hivi.
Ukisema sinza ndio sin city ya dar basi wewe hujafika mwananyamala
Mbona roles zote njaa tuu , Tena km wale acting galish duu😂😂😂😂😂 shida ya Gays wengi hasa bottoms ni kutokua na Elimu.
Mbona wa nchi zingine, wana Elimu, kazi na fani mbali mbali za heshima. Huku sasa, lol
Mbona wamejaa telee wakurya na waha, na wasukuma ni mashoga, 😂😂😂😂😂Nilimpomuona shetani hafai yani siku hizi hadi sehemu za wababe kama kilimanjaro na kanda ya ziwa mashoga wamejaa aise, mkurya unakuwaje shoga
Ukisema njaa, hata kwa straight pia hivyo.Mbona roles zote njaa tuu , Tena km wale acting galish duu
Astakafirullah astakafirullah astakafirullah
Nawaza hivi duuh ...... Mtu anamwagiwa kabisa shahawa ambazo naye anazo😂😂😂😂😂