Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

Kwa manyanya huko au koteπŸ˜‚πŸ˜‚, kiujumla vijana wote wanaiishi dar ni changamoto sio Siri. Watoto sio ridhiki yaani😭
 
Inategemea unakaa kinondoni gani
Ila kuna sehemu inaitwa sogodo iko msisiri huko ni dunia nyingine
Nyie watu wa media nendeni mkafanye documentary

Ova
Kuna nn huko? Tujuze
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wamejaa tele kila mahali lakini unashangaa chawa wa CCM wanajifanya bunge la ulaya linatetea mashoga kumbe serikali ya huku yenyewe inawatunza kabisa πŸ˜„
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wapo wengi ukitaka kujua sehemu za uswahilini zenye birthday, sjui mwali nn huko unakuta wamekata mpk sare, make up na sura zao sasa, ukimkazia sura tuu πŸ˜‚ umekwisha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afu wanachamba hao oooh, na walivyo ungua kwa karolaiti afu wengi wa mabwabwa ni weusi wanafosi weupe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shida ya Gays wengi hasa bottoms ni kutokua na Elimu.

Mbona wa nchi zingine, wana Elimu, kazi na fani mbali mbali za heshima. Huku sasa, lol
 
Wanafedhehesha sana, Kuna siku nilikuwa hotel fulani walikua na party yao Astaghfilullah πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Wana fedhehesha kivipi? Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wasio wahusu. Lol
 
Maadili ni mtu alivojengeka sio mazingira
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shida ya Gays wengi hasa bottoms ni kutokua na Elimu.

Mbona wa nchi zingine, wana Elimu, kazi na fani mbali mbali za heshima. Huku sasa, lol
Mbona roles zote njaa tuu , Tena km wale acting galish duu
Astakafirullah astakafirullah astakafirullah
 
Nilimpomuona shetani hafai yani siku hizi hadi sehemu za wababe kama kilimanjaro na kanda ya ziwa mashoga wamejaa aise, mkurya unakuwaje shoga
Mbona wamejaa telee wakurya na waha, na wasukuma ni mashoga, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona roles zote njaa tuu , Tena km wale acting galish duu
Astakafirullah astakafirullah astakafirullah
Ukisema njaa, hata kwa straight pia hivyo.
Nazungumzia ule uwezo japo kdg wa kujitafutia kipato binafsi. Tofauti na kutegemea kinyeo km njia ya kujikimu kimaisha lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…