Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Loooh, Eti Manara RIP to him?Namkumbuka kwa tamthilia yake ya SIRI ZA FAMILIA EATV na ndio iliyowapa umaarufu wa kina ZAYLISA huyu mke wa manara RIP to him
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loooh, Eti Manara RIP to him?Namkumbuka kwa tamthilia yake ya SIRI ZA FAMILIA EATV na ndio iliyowapa umaarufu wa kina ZAYLISA huyu mke wa manara RIP to him
Sawa mkuuLengo la ndoa ni ile huduma, mkiwa mbalimbali na hakuna huduma, ni sawa, hakuna ndoa. Muda wa kikatiba wa existence ya ndoa isiyo na huduma ni miaka miwili, muda huo ukiisha ni hakuna ndoa ila vyeti vipo ni mpaka kifo kiwatenganishe.
P
Acha bangi nimemaanisha RIP TO HIM (SANCTUS MTSIMBE)Loooh, Eti Manara RIP to him?
Uandishi wenu siku hizi una shida sana. Sijui mnafundishwaje huko shuleni? Ulitakiwa uweke kituo kikuu (full stop) kabla ya kuandika RIP to him!Acha bangi nimemaanisha RIP TO HIM (SANCTUS MTSIMBE)