Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
The message i got ni kwamba alikuwa wanajaribu kujustify kuwa ana elimu appropriate, yaani pia amesomea mambo ambayo wanajimbo wanahamu nayo, (maendeleo ya uchumi) sioni kama ni haki kuanza kuangalia kama baba yake alimrusha mtoto wake darasa au alimuingiza shule fulani kiujanja. This looks like character assasination, hakuna mtu aliye perfect, inawezekana kwa baadhi ni vibaya kuonesha credentials na kwa wengine wanapenda kuona credentials ili kujua kama vilaza wanataka kutuongoza au watu wenye uwezo wa kutuongoza.
Character assassination is an attempt to tarnish a person's reputation. It may involve exaggeration or manipulation of facts to present an untrue picture of the targeted person. It is a form of defamation and can be a form of ad hominem argument.