Kwa mara nyingine, naheshimu mitazamo ya pande zote mbili za shilingi. Kwa wale mnao hoji elimu ya darasa la saba, nadhani ni haki yenu ya kimsingi kujadili au kwa wale mnaohoji elimu yake ya juu ya uchumi pia mnahaki hiyo.
Lakini mwisho wa siku tujiulize swala moja tuu? Jee are we going to be better off with the same suit? Same people who put Tanzania in the deep hole to begin with? Or we're going to hire new driver who will take us out of this deep hole?
Kwa wale ambao bado mnaamini kwamba CCM ni wale wale tuu tofauti ni rangi za mashati, ukweli ni kwamba ni CCM hiyo hiyo iliyo mzaa Mwakyembe ambae ni shujaa wa kila mwanapinduzi. We're the new youth.... " The new youth of Africa is not the survile youth of yesterday.In many ways he is more conscious of his political responsibility" (Prof A.M Babu in his book African Socialism or Socialist Africa).
My reason to quote the above statement is the fact that, Tanzania ya leo inavijana wenye njaa ya maendeleo, iwe kijana kama Mpoki au Mnyika au Zito au January, vijana hawa wote wana njaa ya maendeleo. Ndugu yangu Mtanzania, kijana mwezangu ni muda wa kusimama kidete na kuchagua vijana ambao tunashare nao views, vijana wenye vigezo na taaluma, vijana ambao wanaamini check and balance should be part of us. Vijana ambao wana elewa kwamba katiba yetu inampa raisi rungu kubwa sana, vijana ambao wanafahamu kwamba Makatibu wa Wizara wanapewa fedha lakini hawaambiwi walete matumizi, Vijana ambao wanaelewa kwamba Magereza yetu yamejaa watuhumiwa ambao wengine wamefungwa bila kufuata utawala wa sheria. Vijana ambao wanaelewa kwamba Kuomba Omba Ulaya sio njia Mbadala ya kusolve matatizo. Vijana wanaofahamu maana ya Fiscal responsibilities. Vijana wanaolewa kwamba thamani ya VX inaweza kuleta dawa jimboni kwangu na kina mama wakafaidika. Vijana ambao wanafahamu kwamba mfumo wetu wa elimu ni tasa na umejengwa ili ubomoke.... Vijana ambao wanafahamu madeni yatatufikisha pabaya. Vijana wanaofahamu kwamba Bank Kuu inatiji uhuru wa kusimama pekeyake na ikatazama mfumo wa fedha na serikali ikatazama mfumo wa kodi. Vijana ambao watasema No kwa wahisani na Bank Ya dunia. Vijana ambao watahoji nguvu ya bunge..... Tunaitaji Vijana kama Mpoki... Kuchagua Mpoki kwa kinondoni ni atua moja.... Aluta continua
Ni muda wa kufukuza wazee walioshindwa ambao wametufikisha hapa tulipo, hakuna wakati wa kupoteza. We already lost 47 ( the other two was to learn system) years kwa kufanya upuuuzi. Tuchagueni vijana wenye vigezo vya kuchaguliwa. Chagua Mpoki