Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

huyu jamaa ana masters lakini ndani ya ccm kuna maprofesa kibao na PHd holders wa kunwaga.....akishaingia tu ...Lazima ajali maslahi ya chma kwanza, then yeye halafu marafiki baadaye kitakacho baki ni kwa Wadaganyika wote. Tatizo la ccm si kukosa watu ni mfumo mbovu. Ukishajiunga na wachawi huwezi kuwabadilisha bali utafanya kama wao tu.......dawa ni kuondoa mfumo huu kandamizi tulionao na kuleta mfumo unaojali maslahi wa Watanzania wote

Mkuu huwezi amini wanaojiita madokta wengine si madokta, ukikaa naona unaweza hata kushangaa, arguments zao ni very lame kuna mmoja nilishangaa sana kuambiwa ni Dr. Nilimuuliza swali la kiingereza akashindwa kuelewa, nilimuuliza kwa kiswahili ndio kabisa akawa anapiga porojo tu. Usije ukadhani Dr ya udokta kila mtu anayo. wengine ni maDr majina tu, vichwani mwao hata BA hawana.
 
Duh, nilisoma na huyu jamaa zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Then he fell off the radar, had no idea where he was and if he was alive, for that matter.

Kuna mtu kwenye post zilizopita hapo puu kasema jamaa kanyoa upara aonekane kijana, huyu Mpoki ni kijana, umri wake ni kati a miaka 32-34 hivi.

Kuna na mtu mwingine tulisoma nae alikuwa anaitwa Mplingondo Kingunge Ngombale Mwiru, naye sijui ameishia wapi.

Mpili yupo Dar, anapatikana ukimtafuta
 
MPOKI+MWAMBULUKUTU.JPG

MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
Kumbe ndio huyu, nilipata taarifa eti kuna mgombea anatembea na vyeti. damn, ana fikra mgando, hana jipya nani ni limbukeni wa kuwatambua watu kwa hadhi ya vyeti na mavazi? Rudi Mirikani kawaambie wenzako mrudi kujifunza maisha ya bongo na mahitaji yetu. kwa taarifa yako mabadiliko tunayoyataka sio maendeleo, tunachotaka n dhamira ya dhati kubadili mfumo uliopo. Wengi mliorudi ni kwa sababu ya mshahara mkubwa wa mbunge, kama siyo hivy msingekuja. Tunataka wabunge watakaothubutu kupunguza fursa za kuiba rasilimali za nchi. Usiposema hilo wewe ni mmoja wa wezi. Jifunze kwa Wilbroad Slaa
 
nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye jf, the reason behind is the forum became sold out.however, leo nimeamua kuandika kwa nini kinondoni wamchague mpoki mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana cv ambayo imesimama. B.a economics, mba then m.phil in economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward tanzania economic development are based on facts and not fiction like many tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and mpoki knows development inside out.

Last, he is a common joe...... He is a national treasure.

mpoki yule alie angamiza dada zetu st anthony ama???sio yule mtoto wa aliekuwa balozi wa jnb...kama ndie jitoe kinyanganyiro cha kumsapoti utabeba dhambi kubwa....aliwamaliz dada zetu sana kupitia basketball kama ndie..
 
Uwiiiii kumbe ni huyu aiseeeee

jamani embu mshaurini arudi marekani si alikuwa nje huyu!!!!!
Ama kaambiwa mwaka huu akuna rushwa kaja kujaribu bahati yake hivyo vyeti si mahali pake
 
Mkuu unahakika huyu jamaa alisoma Iboru A-level. NImekuwa nafuatilia kujua kama kweli yeye ni kihiyo au si kihiyo. Nilichoona ni kuwa huyu jamaa hakusoma A-level Ilboru. kama hicho cheti amewasilisha kitakuwa ni cha kugushi kama walivyofanya wengine. Nimesikia kuwa huyu jamaa amesoma A Level St Anthony's secondary. So inawezekana yeye ni kihiyo, au mtanganyika umetupotosha.
Mkuu Bongolander, Mpoki alisoma Ilboru O-Level sio A-level. Nadhani aliesema amesoma A-level amepitiwa tu katika shamrashamra za kumjazia sifa.

Anyway, nadhani anahitaji experience na ufahamu zaidi wa mahitaji ya watu na jinsi ya kuyatatua. Najua hizo sifa anazorushiwa zinaweza kuwa hivyo kitaaluma zaidi ya kivitedo.

Kama anataka Ubunge, aachwe aonyeshe uwezo wake na ashindane kwa merits. Kama sifa alizonazo zinatosha kwa wananchi wa Kinondoni, watamchagua tu.

Mkuu no doubt shule yake ni impressive, kama hicho kingekuwa ni kigezo pekee basi ana qualification zaidi kuliko wagombea wengine. Lakini unajua ubunge ni nani anayeweza kuhonga zaidi na kudanganya wapiga kura na sio nani anafaa na ana uwezo. Mbuge wa sasa hivi tumeona kazi yake,elimu yake na anavyotumia ubunge wake.
 
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

amewahi kuongoza kitengo gani hapa kwetu(kikazi) achilia mbali siasa. ili utuhakikishie kwamba anaweza deliver la maana zaidi ya hayo majigambo.
 
Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.

.............. but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man. .

Mtanganyika, are you serious? Tanzania ilikuwa na wanauchumi kweli kweli enzi za Nyerere na wao walishindwa na sera za Benki ya Dunia na IMF, itakuwa huyo kijana ambaye anaishia utafiti tu. Taasisi hizi huwa zinaweka strategies mbali mbali ambazo kwa kijana kama huyu tu hana uwezo wa kuzipinga kwani katika nchi hii sio yeye pekee atefanya maamuzi.

Hata hivyo tunamtakia kila la kheri katika mapambano yake.
 
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

Mpaka sasa kaitumiaje midigrii yake kuji distinguish in practice? In other words, kafanya nini cha maana cha kumpa heshima ya uwakilishi wa wananchi ?
 
Mpaka sasa kaitumiaje midigrii yake kuji distinguish in practice? In other words, kafanya nini cha maana cha kumpa heshima ya uwakilishi wa wananchi ?
jamani lets support kijana mwenzetu! ana potentials kubwa za kuleta mabadiliko na tuache roho za kwanini! you have my vote Mpoki
 
jamani lets support kijana mwenzetu! ana potentials kubwa za kuleta mabadiliko na tuache roho za kwanini! you have my vote Mpoki

Kwani nimesema sitaki kum support? Mbona unataka ku conclude vitu ambavyo havipo ?

Nilichouliza ni kwamba, amefanya nini kinachompa sifa ya kupata heshima ya uwakilishi ? Au unategemea watu tumpe support kwa sababu kijana tu ? Ujana si sifa ya uongozi, na kama hana sifa nyingine zaidi ya ujana na midigrii mimi kwangu hivi havitoshi kunishawishi nimpe support.

Jibu swali, kafanya kitu gani cha kustahili kuwa mbunge ? Sio habari za kupelekana tu katika "cult of personality". Hii JF bwana.
 
Huyu jamaa kama kweli kaenda shule basi atumie hiyo shule yake kujenga hoja madhubuti ili wananchi wamchague halafu atumie hiyo mishahada yake kufanya mavitu ambayo hayajawahi kufanywa. Zaidi ya hapo academic degrees don't impress me much!!
 
Tatizo kaenda CCM ,
CCM watu wenye nia nzuri hutengwa na kuonekana wasiliti so watu hushindwa kupambana.
So he is in the wrong track kwa maendeleo.
 
Tatizo kaenda CCM ,
CCM watu wenye nia nzuri hutengwa na kuonekana wasiliti so watu hushindwa kupambana.
So he is in the wrong track kwa maendeleo.

Unaongea kama vile jamaa ana sifa, ndipo hapo ninapoomba kujua sifa zake.

Isije kuwa mambo ya Kikwete, eti sifa za urais mtu mpole, mtu wa watu.

Jamani, mliotuletea mgombea kwa mbwembwe, tupeni sifa zake basi, ana sifa gani zaidi ya mi degree, kuwa mtoto wa balozi na kuwa kijana ? (as if those are actual qualifications!)
 
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

Nikujulishe tu kuwa kwa taarifa yako hapa nyumbani Tanzania kuna wachumi wengi sana waliosoma zaidi ya huyo Mpoki; tatizo ni kwamba watawala hawawatumii na maranyingi hawasikilizi ushauri wao ila wa wazungu kutoka Washington!! Kuhusu kama huyu kijana anabaggage yeyote ya uanamtandao, kwa taarifa yako tu ni kwamba baba yake huyo kijana alikuwa balozi wa Tanzania huko Afrika Kusini until very recently na baba yake ni rafiki mpenzi wa EL na mwaka 2005 alikuwa mwanamtandao asilia!! Ndio maana imekuwa rahisi kwa Mpoki hata kupata hizo form za kugombea toka huko Kawe!!
 
Unaongea kama vile jamaa ana sifa, ndipo hapo ninapoomba kujua sifa zake.

Isije kuwa mambo ya Kikwete, eti sifa za urais mtu mpole, mtu wa watu.

Jamani, mliotuletea mgombea kwa mbwembwe, tupeni sifa zake basi, ana sifa gani zaidi ya mi degree, kuwa mtoto wa balozi na kuwa kijana ? (as if those are actual qualifications!)
Yeah nimeongea hata kama yuko fit still itakuwa mbaya.
Lakini tukiacha ku assume anatakiwa kujibu/wajibu(naona anawakilishi wake hapa) maswali ambayo watu wameshauliza hapa ,atuambie kafanya nini ktk nchi hii cha kuweza kuchaguliwa kuwa mwakilishi wa wanchi bungeni pili atumie "usomi wake" kujenga hoja sio kuonyesha vyeti.
Kuna watu wanoongelea wivu ooho mchagueni kijana.Hii ni habari tete hatuwezi kum support mtu simple kwa kuwa ni kijana,au mzee,au msomi kuna zaidi ya hayo kuna wasomi kama Chenge,Balali,...... wamesoma vyo makini duniani Havard yako wapi?
 
Wachangiaji munaopingwa huu mkwara wa vyeti munakosea.

Lazima muangalie audience ya huyu Kijana na mindset ha audience yake.

Hapo majority ya watu shule ndogo, ukileta karata ya shule utaweza kuonekana nabii.

hayo ya shule ni jambo moja na delivery ni something else ni hoja ya maana lakini munaoelewa hilo ni nyinyi amabao si wapiga kura.

His strategy is good kwa wapiga kura wake ila inabidi sasa azungumzie specific problems za jimbo na yeye atatumiaji hivyo vyeti vyake kuwasaidia.
 
Kwanza i have to say kwamba am so please by both side of the debate. For those who debate about what Mpoki did for Tanzania, again I will say this. Kwanza as far as CV please don't expect ten pages for a 32-34 years old who spent most of his life to earn knowledge. However, as i mentioned before, the guy have substantial experience.

He returned to Tanzania last year, after over a decade mission of searching knowledge. He is strongly participated on formulate micro-finance and cost management strategies kwa wakina mama ambao ni wafanyabiasha wadogowadogo in rural Tanzania. Again to this moment he still volunteering consulting small business, farmers and wakina mama on business aspects. He does this pro bono. He chose to run for the office because he saw the urgency of changes on the way Tanzania government is doing business. He tried to do bottom up strategy, however he saw the necessities of jump in a and participating in changing our way of doing business. He is seeing what next generation will reap after the mess of this generation. He is optimistic that is why he chose the hard way.

Mpoki could chose to become a scholar in the west institutions and settled with substantial income, but he chose a different highway of participating toward Tanzania development.

I STRONG admire everyone who challenge either his background or experience. However, i challenge you as my JF family just research more about this guy. He can delivered, Tanzania is hungry for leaders and people who can start running day one. This is the guy, humble, charismatic, experienced and patriotic. We need people who will challenge the way things are going in Tanzania, and this guy is the agent of that.

For all my friend who said CCM was the wrong move. Trust me to some-point i agree, but CCM is here to stay and samaki mmoja akioza methali doesn't apply here. Let us not punish strong and qualified candidates because of the EPA or Richmond mistakes. We need independent thinkers, and trust me some are in CCM and some are in Chadema. Let us combine this forces and move this nation forward. We need every knowledgeable and humble leaders we can get. We don't have a lot of time to groom one at the time. We need as many potential leaders as possible.

But if we're going to act like Republican, means say no for everything that democratic put forward then the country will continue to be divided and those fresh eater will continue to enjoy easy ride.
 
Back
Top Bottom