greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Ni 20,000 nilisahau kuweka 0 moja mkuuWatu 2,000 ni Arena au ni Diamond Jubilee!
Siku nyingine kuwa makini Mkuu.Ni 20,000 nilisahau kuweka 0 moja mkuu
Hakuna Arena ya watu 200,000,Ni 20,000 nilisahau kuweka 0 moja mkuu
Kuna nchi kwasasa ina utulivu (wao wanaita amani) hiyo nchi bado wao wanahaingaika kunajenga matundu ya vyoo...🫤Hapo Nchi Iko Vitani Inajenga Uwanja
Ni Arena ya watu 20,000Hakuna Arena ya watu 200,000,
Hauwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja...Kupanga ni kuchagua.
Kipande cha nchi kimekaliwa na majeshi ya kigeni wenyewe mko bize kufikiria arena kubwa ya kufanyia burudani.
Hapo sawa,Ni Arena ya watu 20,000
Ni kweli huwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja, lakini ilipaswa kipaumbele kuwekwa kwenye ulinzi wa mipaka ya nchi.Hauwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja...
Now Kongo inapiga hatua ,uchumi unakua kwa kasi.
Mkakati wa mda mrefu unahitajika,Ni kweli huwezi kufanya vyote kwa wakati mmoja, lakini ilipaswa kipaumbele kuwekwa kwenye ulinzi wa mipaka ya nchi.
Haiwezekani kijitu kinapora ardhi ya nchi yenu nyi mko bize kujenga kumbi za starehe, wakati huo huo mnaomba majeshi ya kikanda yaje yapigane kwa niaba yenu.
Hiyo ngumu bro.
Huwezi kuendesha miradi ya kufufua uchumi wakati mko vitani.Mkakati wa mda mrefu unahitajika,
1. Kufufua uchumi uchumi ni jambo la kwanza
2.Kuonesha matumizi ya fedha zinazopatikana kutokana na rasilimali zao
3. Wananchi wajionee faida ya amani na rasilimali zao ni zipi
4. Hii inarudisha morali ya watu ,hata ukisema unaenda vitani,unapata watu
Angalia mfano wa Azberijan ilivyorudisha ardhi yake baada ya miaka 10+ tangia washindwe vita
1.Korea Kusini mpaka leo hii wapo kwenye Vita na Korea kaskazini....na wamepiga hatua kuliko nchi yoyote AfrikaHuwezi kuendesha miradi ya kufufua uchumi wakati mko vitani.
Kabla ya chochote kipaumbele cha kwanza ni kupigana mpaka kukomboa nchi.
Linchi likubwa na watu zaidi ya milioni 100 wanasumbuliwa na kanchi ka watu milioni 6.
Kwakuwa kipaumbele chenu ni starehe
Sisi bana ya Congo pedeshee, yenye tunakula bata- mambo ya malisasi hatutakangi. Tunataka bajeshi ba inchi ingine baje baipiganie Congo, sisi tutabalipa madolaa/mafaranga.Huwezi kuendesha miradi ya kufufua uchumi wakati mko vitani.
Kabla ya chochote kipaumbele cha kwanza ni kupigana mpaka kukomboa nchi.
Linchi likubwa na watu zaidi ya milioni 100 wanasumbuliwa na kanchi ka watu milioni 6.
Kwakuwa kipaumbele chenu ni starehe