KINSHASA ARENA :DR CONGO ikijenga Uwanja mkubwa wa ndani Afrika Mashariki na kati

KINSHASA ARENA :DR CONGO ikijenga Uwanja mkubwa wa ndani Afrika Mashariki na kati

Sisi bana ya Congo pedeshee, yenye tunakula bata- mambo ya malisasi hatutakangi. Tunataka bajeshi ba inchi ingine baje baipiganie Congo, sisi tutabalipa madolaa/mafaranga.
Weye ni mutu ya Congo ya wapi! Congo ina pesa mingi sana. Kila mutu ukiikuta Congo iko bling bling.
 
Mo
Weye ni mutu ya Congo ya wapi! Congo ina pesa mingi sana. Kila mutu ukiikuta Congo iko bling bling.
Mimi nakalaga Mu-Lubumbashi, mara ingine Mu-Kinshasa, pale bantu inakunga bata. Ndio! Pesa mingi na masasi mingi kucongo hatunanga maamani.
 
Ina maana Africa Mashariki na Kati hiyo ndo inaenda kua Arena kubwa? Mbona hiyo carrying capacity ni ndogo?
Ukiangalia kwenye picha utagundua hiyo Arena imefunikwa juu. Kwa idadi ya watu elfu 20 si haba
 
Hiyo ni indoor stadium ambayo Dais wa DRC aliamua ijengwe baada ya nchi yake kushinda kikombe cha mashindano ya basketball yaliyofanyika Mali na wakati huo nchi yao haikuwa na uwanja wa viwango vya kuhost game kubwa za indoor...
 
Wakati huku serikali ikiwa bado inajifkiria,nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea na Ujenzi wa Arena kubwa Afrika Mashariki na Kati.

Arena hiyo itakuwa ikiitwa Kinshasa Arena,na itakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000.
Ujenzi huo ulianza mwaka 2023 unatarajiwa kukamilika mwaka huu.

Kongo inazidi kujipambanua.
View attachment 3576133
Ujenzi ukiendelea
View attachment 3576136
Muonekano wa mwisho itakavyokuwa
Uwanja wote huo watu elfu 20 tu?
 
Ina maana Africa Mashariki na Kati hiyo ndo inaenda kua Arena kubwa? Mbona hiyo carrying capacity ni ndogo?
Kwa uwanja wa ku-host matamasha ya ndani,,20,000 ni kubwa sana.
Msanii gani/tamasha gani litakuwa linachukua watu 20,000 kila wiki ili iweze kurudisha faida...?
 
Kweli WaTanzania wengine wapo kama misukule.

Huo uwanja kama ungejengwa Tanzania na kuingiza watu 20k kelele zingekuwa nyingi zakukosoa utawala kuwa tumepigwa.

Ila kwavile anajenga Congo uwanjwa unamwagiwa maua kontena.
 
Hivi unajua matamasha ya burudani huwa yanachukua watu wangapi kwa hapa Bongo...?

Wasanii wangapi wana uwezo wa kujaza idadi hiyo ya watu...?

Je,matamasha hayo yanaweza kufanyika mara ngapi kwa mwezi...?

Sasa ukumbi mkubwa tulionao wa ndani,unajaza watu wangapi...?

Fanya utafiti mdogo tu juu ya Indoor Arena,ndiyo utaelewa kwamba 20,000 seater arena ni kubwa kiasi gani...?
 
Umeelewa nilichoandika mimi.

Wala sikupingi kwenye suala la matamasha 20k ni watu wengi sana hata mambele msanii atapewa sifa akijaza.

Ila nasema hiyo hiyo Arena ingejengwa hapa na sifa hizo.Huu uzi wa sifa ungeletwa na chawa na comments zingejaa ukosoaji.

Kifupi watz hatujui nini tunataka .
 
Back
Top Bottom