Weye ni mutu ya Congo ya wapi! Congo ina pesa mingi sana. Kila mutu ukiikuta Congo iko bling bling.Sisi bana ya Congo pedeshee, yenye tunakula bata- mambo ya malisasi hatutakangi. Tunataka bajeshi ba inchi ingine baje baipiganie Congo, sisi tutabalipa madolaa/mafaranga.
Mimi nakalaga Mu-Lubumbashi, mara ingine Mu-Kinshasa, pale bantu inakunga bata. Ndio! Pesa mingi na masasi mingi kucongo hatunanga maamani.Weye ni mutu ya Congo ya wapi! Congo ina pesa mingi sana. Kila mutu ukiikuta Congo iko bling bling.
Ina maana Africa Mashariki na Kati hiyo ndo inaenda kua Arena kubwa? Mbona hiyo carrying capacity ni ndogo?Ni Arena ya watu 20,000
Ukiangalia kwenye picha utagundua hiyo Arena imefunikwa juu. Kwa idadi ya watu elfu 20 si habaIna maana Africa Mashariki na Kati hiyo ndo inaenda kua Arena kubwa? Mbona hiyo carrying capacity ni ndogo?
Uwanja wote huo watu elfu 20 tu?Wakati huku serikali ikiwa bado inajifkiria,nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea na Ujenzi wa Arena kubwa Afrika Mashariki na Kati.
Arena hiyo itakuwa ikiitwa Kinshasa Arena,na itakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000.
Ujenzi huo ulianza mwaka 2023 unatarajiwa kukamilika mwaka huu.
Kongo inazidi kujipambanua.
View attachment 3576133
Ujenzi ukiendelea
View attachment 3576136
Muonekano wa mwisho itakavyokuwa
Huu upo zaidi kwa ajili matamasha ya muziki,sanaa na michezo kama Basketball...Uwanja wote huo watu elfu 20 tu?
Kwa uwanja wa ku-host matamasha ya ndani,,20,000 ni kubwa sana.Ina maana Africa Mashariki na Kati hiyo ndo inaenda kua Arena kubwa? Mbona hiyo carrying capacity ni ndogo?
30,000unaojengwa Arusha ni unachukua watu 20,000
Hivi unajua matamasha ya burudani huwa yanachukua watu wangapi kwa hapa Bongo...?Kweli WaTanzania wengine wapo kama misukule.
Huo uwanja kama ungejengwa Tanzania na kuingiza watu 20k kelele zingekuwa nyingi zakukosoa utawala kuwa tumepigwa.
Ila kwavile anajenga Congo uwanjwa unamwagiwa maua kontena.
Umeelewa nilichoandika mimi.Hivi unajua matamasha ya burudani huwa yanachukua watu wangapi kwa hapa Bongo...?
Wasanii wangapi wana uwezo wa kujaza idadi hiyo ya watu...?
Je,matamasha hayo yanaweza kufanyika mara ngapi kwa mwezi...?
Sasa ukumbi mkubwa tulionao wa ndani,unajaza watu wangapi...?
Fanya utafiti mdogo tu juu ya Indoor Arena,ndiyo utaelewa kwamba 20,000 seater arena ni kubwa kiasi gani...?