Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #201
JMT ndio ya Watanzania wote, Waliokuwa Watanganyika na Wazanzibari, lakini Zanzibar ni kwa Wazanzibar tuu kwasababu ni semi automous ina utawala wake wa ndani unaojitegemea, hivyo Zanzibar ni ya Watanzania Wazanzibari pekee!.Mbona tanganyika hatuwezi kumchagua raisi wa zanzibar
P