Mkuu
Sir luta , civic education kuhusu uraia wa JMT bado inahitajika sana!, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili za Tanzania bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Uraia wa JMT ni uraia mmoja tuu, Watanzania wote wakiwemo Wanzanzibari wana haki sawa za kiraia ndani ya JMT!, hakuna Mtanzania bara wala Mzanzibari, kuna mtu mmoja tuu, Mtanzania!. Kauli ya hatutaki kuongozwa na Mzanzibari ni kauli ya kibaguzi!. Baada ya hatutaki kuongozwa na Mzanzibari ikipita itakuja hatutaki kuongozwa na Msukuma, then Mhaya, then Mchagga, ukiisha tenda dhambi ya ubaguzi, inaendelea kukutafuna...
P