Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Jan 23, 2025 Thread starter #201 Don Masanja said: Mbona tanganyika hatuwezi kumchagua raisi wa zanzibar Click to expand... JMT ndio ya Watanzania wote, Waliokuwa Watanganyika na Wazanzibari, lakini Zanzibar ni kwa Wazanzibar tuu kwasababu ni semi automous ina utawala wake wa ndani unaojitegemea, hivyo Zanzibar ni ya Watanzania Wazanzibari pekee!. P
Don Masanja said: Mbona tanganyika hatuwezi kumchagua raisi wa zanzibar Click to expand... JMT ndio ya Watanzania wote, Waliokuwa Watanganyika na Wazanzibari, lakini Zanzibar ni kwa Wazanzibar tuu kwasababu ni semi automous ina utawala wake wa ndani unaojitegemea, hivyo Zanzibar ni ya Watanzania Wazanzibari pekee!. P