Uchaguzi 2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Uchaguzi 2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Flyover Mpya 11 miaka mitano zinajrngwa wapi hizo.
Asisahau jangwani
 
Huwezi kujua ubora au udhaifu wa mtu bila kumsikiliza, ndo maana TAL amepigwa pini kitaalum kutangazwa redioni. Kwa hiyo usiogope watz tunajua cha kufanya tar28
Binafsi nipo kitaa ila cha kushangaza redio zimewekwa sauti kuuuubwa kumsikiliza JIWE kupitia RADIO duh!

Sijui kama tutatoboa na TAL
 
Ingekuwa kiongozi ni kejenga tu basi kila mtu angeweza kuwa Rais, Kiongozi ni mtu anaweza kuwatoa watu sehemu moja kwenda sehemu nyingine bora sambamba na maendeleo facilitation ili watu wafike malengo yao, wachini wainuke na wajuu waendelee zaidi sio kauli mimi raisi wa maskini haina mantiki yoyote.

Kwa bahati mbaya hatujui vision yetu miaka 5 tulisikia TZ ya viwanda kampeni hii sisikii kitu sijui tumehama huko yaani baada ya miaka zaidi ya 50 tunashukuru kupata stand, shule sijui barabara. Hata wakoloni walijenga sana huko S.Africa, Namibia na Zimbabwe lakini wakaondolewa sababu ya siasa zao.
 
Flyover Mpya 11 miaka mitano zinajrngwa wapi hizo.
Asisahau jangwani
Sehemu zote zenye mataa Dar zitajengwa Flyover zote kuanzia round about ya kariakoo ,mnazi mmoja,Changombe mataa,ilala pale mataa,kamata,magomeni mapipa,mwenge nk hizo zote zitajengwa awamu ijayo.

Pamoja na barabara za mwendo kasi kwenda gombolamboto,Tegeta , Mbagala,na ya kuelekea stendi kuu mpya kubwa ya mabasi iliyozinduliwa na Raisi wa malawi
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020...

Kwenye kipindi chake watu wameokotwa kwenye viroba, kina Ben, Azory na wengine wamepotea. Kina Lissu wamepigwa risasi mchana kweupe bila ya hatua zozote kuchukuliwa:

"Nilisema nikichaguliwa nitahakikisha tunajenga amani ana utulivu nchi. Miaka ya nyuma pale Ubungo benki ilivamiwa na walipiga risasi mchana kweupe, nikasema chini ya utawala wangu halitakuwepo. Je siku yanatokea hayo."

What a mockery!
 
Sehemu zote zenye mataa Dar zitajengwa Flyover zote kuanzia round about ya kariakoo ,mnazi mmoja,Changombe mataa,ilala pale mataa,kamata,magomeni mapipa,mwenge nk hizo zote zitajengwa awamu ijayo
Pamoja na barabara za mwendo kasi kwenda gombolamboto,Tegeta , Mbagala,na ya kuelekea stendi kuu mpya kubwa ya mabasi iliyozinduliwa na Raisi wa malawi
Hapa sawa haya ni maendeleo ya vitu yagusayo watu
 
Kwenye kipindi chake watu wameokotwa kwenye viroba, kina Ben, Azory na wengine wamepotea. Kina Lissu wamepigwa risasi mchana kweupe bila ya hatua zozote kuchukuliwa:

"Nilisema nikichaguliwa nitahakikisha tunajenga amani ana utulivu nchi. Miaka ya nyuma pale Ubungo benki ilivamiwa na walipiga risasi mchana kweupe, nikasema chini ya utawala wangu halitakuwepo. Je siku yanatokea hayo."

What a mockery!
hana hata aibu
 
Kampeni hizi zitamwacha hoi mzee wetu - TL Mungu anakuonaaa!!! hebu achia kidogo tupumue duh.
 
Ingekuwa kiongozi ni kejenga tu basi kila mtu angeweza kuwa Rais, Kiongozi ni mtu anaweza kuwatoa watu sehemu moja kwenda sehemu nyingine bora sambamba na maendeleo facilitation ili watu wafike malengo yao, wachini wainuke na wajuu waendelee zaidi sio kauli mimi raisi wa maskini haina mantiki yoyote. Kwa bahati mbaya hatujui vision yetu miaka 5 tulisikia TZ ya viwanda kampeni hii sisikii kitu sijui tumehama huko yaani baada ya miaka zaidi ya 50 tunashukuru kupata stand, shule sijui barabara. Hata wakoloni walijenga sana huko S.Africa, Namibia na Zimbabwe lakini wakaondolewa sababu ya siasa zao....
Magufuli anatakiwa kuongoza wizara ya miundombinu, urais sio size yake ila maccm wenzake wanaogopa kumwambia kuwa viatu vya urais havimtoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
majambazi si unaona wametulia baada ya askari kuamua kutumia bunduki na risasi? umesikia benki zikivamiwa tena? umesikia kuna magaidi wavamia vituo vya polisi waliokuwa wakiua askari wapo tena? UMESIKIA RUFIJI,MKURANGA NA KIBITI WATU MLIOWAUNGA MKONO WANAENDELEA KUUA WATU TENA?...

"Amani haiji Ila kwa ncha ya upanga", labda sasa kama umeamua kutuhimiza wewe leo kufanya kweli kwenye uchaguzi huu vinginevyo itakuwa wizi kama mlivyozowea au vipi?
 
Back
Top Bottom