Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Hivi kuna kinywaji chenye kilevi ambacho hakina harufu? Iko hivi, Kwa nini mtu akinywa kinywaji Baridi aka Pombe harufu inatawala kinywa ikiwezekana muda wa siku tatu mfululizo hata mtu akipiga mswaki harufu bado inakuwepo! Dawa ya hii kitu ni nini au zipo zingine hazina taabu hii?
Waokovu wa dini zote tafadhalini sana haina haja kuchangia kama thread hii ni kinyume na Imani yako maana wengi mnafikiri dhambi ni pombe tuuuu hakuna dhambi nyingine. So please, Fanya kama hujaona hii thread. Shukrani!