Kinywaji Baridi - Wine, Beer, Liquor n.k

Kinywaji Baridi - Wine, Beer, Liquor n.k

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
7,973
Reaction score
13,647
Hivi kuna kinywaji chenye kilevi ambacho hakina harufu? Iko hivi, Kwa nini mtu akinywa kinywaji Baridi aka Pombe harufu inatawala kinywa ikiwezekana muda wa siku tatu mfululizo hata mtu akipiga mswaki harufu bado inakuwepo! Dawa ya hii kitu ni nini au zipo zingine hazina taabu hii?
Waokovu wa dini zote tafadhalini sana haina haja kuchangia kama thread hii ni kinyume na Imani yako maana wengi mnafikiri dhambi ni pombe tuuuu hakuna dhambi nyingine. So please, Fanya kama hujaona hii thread. Shukrani!
 
Kula limao baada ya kunywa pombe. Kula na roughage zake sio maganda.
 
Mbona kama vile ni tatizo kubwa...siku tatu harufu haijaisha?? Au labda ni hisia zako tu. Yaan umekunywa juzi mpaka leo harufu inasikika? Kamuone daktari haraka.
 
1472142305349.jpg
Chukua dragon changanya na penasol
 
Dawa yake ni kuchanganya na mafuta ya taa tu harufu yote kwisha [emoji4]
 
St.Anna +batook(bablishi) kwa wewe mnywa wine kama mimi Jack Daniel+batook+ndimu...
 
Back
Top Bottom