blackhawk
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 262
- 587
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee
Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa
Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela