Kinywaji gani au chakula gani ulishawahi kula hotelini ukasema umepoteza hela yako?

Kinywaji gani au chakula gani ulishawahi kula hotelini ukasema umepoteza hela yako?

blackhawk

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
262
Reaction score
587
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee

Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa

Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
 
Wale wanaovamia vyakula vya watusijui kiitaliano,mara korea waje watupe majuto yao
 
Wale wanaovamia vyakula vya watu sijui kiitaliano,mara korea waje watupe majuto yao
 
Sinywi chai ya rangi hotelini ,siagizi ugali hotelini full stop
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Niliagiza soda inaitwa krest, ilikuwa mwaka 2003, nilijuta maana nilijikaza ili nisionekane nimekuwa mshamba wa kuagiza nisichokijua!
 
Baada ya kula sana pilau kwenye harusi fulan hiv kitaa niliagiza soda flan hiv inaitwa tangawz ....kuna mlev fulan hiv jilan yangu nae aliagza .but baada ya kupga funda moja, jamaa aliiweka chin na kutokomea kusiko julikana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee

Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa

Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
Biriani.......Sio kwamba lilikuwa baya la hasha bali sijaona kipya kwangu "WALI MCHAFU" aka MPEGAV mtamu kuliko Biriani...Nikaona Biriani OVERATED.
 
Nakumbuka siku nikiwa pale Paradise Bagamoyo niliwakuta wazungu wanakula Kamba koche nilipo uliza bei sikuamini masikio yangu.....ila nikahisi ni msosi mtamu sana...nika-agiza kwa mbwembwe zote....miaka 10 imepita bado nikikumbuka natapika....
 
Nilikunywa Bavaria November 2020 nikaambiwa ni Tsh 3000 sehemu pakawaida aisee nilinuna kinoma afu maji matupu, kuisoma chupa eti imported from Holland. Dada akachukua 3000 yake kiroho safi.
 
Back
Top Bottom