Biriani.......Sio kwamba lilikuwa baya la hasha bali sijaona kipya kwangu "WALI MCHAFU" aka MPEGAV mtamu kuliko Biriani...Nikaona Biriani OVERATED.Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee
Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa
Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
Aiseeee kweli bora hata "SANTALUSIA SPAGETI" tamu kuliko "MAKORONYA".Macaroni
Kweli mkuu birian ni ovarated,mm naipika haswa lakin sili na siipendi kabisaBiriani.......Sio kwamba lilikuwa baya la hasha bali sijaona kipya kwangu "WALI MCHAFU" aka MPEGAV mtamu kuliko Biriani...Nikaona Biriani OVERATED.
Chai ya Vanilla na Chai ya Nazi ni habari nyingine kaka, kuna Mpemba mitaa ya Tabata Bima anaiandaaa ni tamu balaaa na ndio habari ya Tabata kwa sasa.Chai ya nazi