Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Kinywaji gani ukipendacho zaidi

20240120_152034_06.jpg
 
Hapo kwenye ulanzi kuna vipengele
Mtogwa
Mkangafu
Mdindifu
Wewe u wapi?
Mkuu nimekulia kwenye Mbege ulanzi hata sijui vipengele....Kuna mama huwa nawekaga order kwake jumapili asubuhi ananiletea nkitoka ibada nakunywa aiseee nakua na Dunia yangu flan.....sijui nlichelewa wapi kujua hii kitu
 
Kinywaji kinachotoka kati kati ya mapaja ya mwanamke mnakiitaje vile?????
 
Back
Top Bottom