Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Kinywaji gani ukipendacho zaidi

Maji
Mtindi
Juice hasa Apple
Wine hasa Altar
Beer hasa Safari lager
Soda hasa Spar letta
Whiskey hasa Jack Daniels
Spirit hasa K Vant
Unakula Safari Lager?

Kumbe unavimbiwa mahindi, Pata bia zenye Shahiri kama Guinness, na bia kutoka nje kama Heineken, Windhoek nk.
 
Unakula Safari Lager?

Kumbe unavimbiwa mahindi, Pata bia zenye Shahiri kama Guinness, na bia kutoka nje kama Heineken, Windhoek nk.
Hiyo ndio my favorite mkuu ila hata bia nyingine nakunywa pia isipokuwa zile lite, na hata imported huwa nakunywa pia, guinness na aina nyingine kama hiyo huwa zinanishinda ladha tu asee
 
Hiyo ndio my favorite mkuu ila hata bia nyingine nakunywa pia isipokuwa zile lite, na hata imported huwa nakunywa pia, guinness na aina nyingine kama hiyo huwa zinanishinda ladha tu asee
Kumbe unapenda sana kunywa KOMONI!
 
Kuna hii kahawa inanimalizia sana hela
1716483391551.png
 
Njombe mida hii unakuta kijiji kizima kimelewa kwa ulanzi+mataputapu wamebaki watoto tu kusachi vijichenchi kwenye makoti ya baba zao.

Vinywaji vingine hovyo kabisa[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupuu, ulanzi mtamu bhana.
 
Kunywa asee ulanzi ni kama tunda linakua kwa msimu tu huu nd muda wake [emoji23][emoji23]
Nimetoka kugema sio mda, naandaa wa kunywa ili nilalee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom