Anhaaaaa......Castle lite baaaridiiiii
Hongera. Uamuzi mzuri sana sanaaTokea November 2015 mpaka Leo tarehe 24/9/2016 sijatumia kinywaji chochote kilichotoka kiwandani ..
Muda mrefu sana ase ,ila namshukuru Mungu sana ,nilikuwa addicted sana na ma fullsana.
..
Inakua balaaaHii kitu ukinywa halafu ukaenda kula ile kitu inakuwa ni hatari sana
waambie na huku pwani wanyaji tupo jameniA town zipo za kumwaga!
Vipi mkuu ina madhara ganitena uikome kweli kweli ht kuiangalia usiiangalie
*amarula-TogwaGlass ya amarula ndani yake kuwa na barafu kadhaa mmmhhh nasikia kiu unanifanya nitoke usiku huu wakati kesho church...
Wanyaji...?!waambie na huku pwani wanyaji tupo jameni