Kiongozi ambaye anacheka na wazembe hafai hata kidogo

Kiongozi ambaye anacheka na wazembe hafai hata kidogo

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Leo nilifikiri kwamba nikifungua koki ya bomba nitaona maji kumbe wanazindua mashimo kazi kwelikweli.
1446634139814.jpg
 
Mwenyewe nikatumia akiba yangu kidogo ya maji iliyobaki kuoshea ndoo, madumu na majaba nikitegemea leo maji yanatoka. Hapa najuta kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ni visima vya MKAPA mwaka 1996.
 
Kuna Kiongozi bora alitwambia ipo siku mtanikumbuka. Hakika alikuwa na maono. Majenereta yamegeuka dili, water bowser tulizisahau lkn leo ndio habari ya mjini, Mapedeshee matapeli wa mjini wametoka Segerea wanaendeleza libeneke, Wauza unga wameachiwa, Mawaziri wapiga dili akina Mwigulu, Nappe na Makamba wamerudi mjini kuendeleza uhuni Wizarani yaaaaani Nchi haina kiranja
 
Halafu utegemee kupata kizazi cha watakaokuwa wanajielewa.
 
Back
Top Bottom