Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima?
Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua au kuuliza yuko wapi mkeo au mumeo! Wakati wa kutambulishana unajikuta unatambulusha huyu ni body guard huyu ni mlinzi wangu huyu ni msaidizi wangu wa hotuba au huyu ni waziri wangu, wanasubiri kusikia huyu ni mke wangu au huyu ni mume wangu lakini olaaaaahhhh
Hili ni jambo liko sawa? Kiongozi mkubwa kutotambua uwepo wa mwenza wake hata kwa kuambatana nae ni sawa? Au ni sawa kiongozi mkubwa hata akiwa single ni sawa tuu hakuna shida yeyote?
Au viongozi wakubwa huwa hawatengewi posho na matunzo kwaajili ya wenza wao hivyo ni gharama kiongozi kuambatana na wenza wao?
Ikiwa kiongozi anapata dharura ambayo mume au mke anatakiwa ndio atatue wa kwanza au kujua wa kwanza inakuwaje hapo?