Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kabisa yaani
Ndio kama unavyoona mkuu .Vipi tena mkuu?
Halikuwa na uhalali wowote ule , Huwezi shindanisha Heavy weight na uzito wa Unyonya , haijawahi kutokea , labda enzi za GoliatiLile shindano na Lucas limeishaje? 😂
Kwani naye haendi ofisini ?Mbona makonda ni zaidi saaaana makaniani na misikitini???!!!
Unfit leaders ndio hao wanaofia maofisini na kuliingizia Taifa hasara kubwa ya mazishi na misululu ya magari.Kwani kuugua ni crime?