Kiongozi anapaswa kuonekana hata ofisini, Siyo Makanisani tu, watu watajua anaenda kuombewa

Kiongozi anapaswa kuonekana hata ofisini, Siyo Makanisani tu, watu watajua anaenda kuombewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania.

Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo lililoshangaza wengi , Sisi wengine tulitarajia labda atokee ofisini kwake au kwenye majukumu mengine ya kitaifa

Sasa kwa kiongozi ambaye watu wanatilia shaka afya yake anapoonekana mara kwa mara makanisa badala ya Ofisinii kwake , Tafsiri inayokuja ni kwamba , aweza kuwa mgonjwa kweli na yuko makanisani kutafuta Uponyaji , maana haiwezekani kiongozi mwenye afya njema kutoonekana Ofisini kwake .

Screenshot_2023-12-25-16-01-05-1.png
 
Sasa hv umeanza kubalance story zako, Safi sana mkuu.
 
Mkuu hutaki viongozi washiriki ibada hope ungeenda ofcin kwake ungemwona huko anaonekana kirahisi kutokana na watu wa media
 
kuna civil war kule nchi ya mbogamboga, ameamua kutafuta ulinzi kwa Mola wake watu wanatumiana mpaka radi
 
Back
Top Bottom