Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).
Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.
On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.
Conclusion:
The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.