Kiongozi anayependelea anakotoka, hakosi pia sifa ya kuwa mwizi na fisisadi kwa lengo la kujilimbikizia mali

Mbona hata watu wa kule wanasema mtaani kabisa kuwa kwa kazi Nzuri inayofanyika kule kwa sasa kwa kushirikiana na yule aliyekokule ambaye anawezeshwa toka ardhikubwa baada ya miaka 2-3 kutakuwa kama Dubai [emoji108]
 
Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.

Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
Kuna rasilimali zipi mlizo wapa, zaidi ya kuwahujumu na kuwanyang'anya hata rasilimali watu, Kwa wivu na Hila, kwa matarajio kuwa kitakufa.
 
Plato aliwahi kufundisha: "no man commits evil deliberately, man commits evil due to ignorance". labda hao viongozi wanafanya hivyo due to ignorance, au hii haihusian na mada
 
Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.

Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
With facts and evidence unaezabonyesha how wanapendelea kaskazini?
 
Chadema nao wanapendelea, jiwe nae alikuwaanapendelea , ACT nao wadini, CuF wadini, CCM inawenyewe. Watanzania wema tukimbilie wapi, ? Tunahitaji katiba mpya
 
The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred, corrupt and is enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Development inatokana na developmental spirit, yaani moyo wa maendeleo, charity begins at home. Ukiwa na moyo wa kimasikini na mawazo ya kimasikini ukaacha kujipenda na kujiletea maendeleo kwanza wewe mwenyewe, huwezi kuendeleza wengine na huwezi kuleta maendeleo ya nchi.

JPM hakuwa na moyo wa kimasikini na mawazo ya kimasikini, ndio maana aliamini Tanzania sio masikini ni tajiri, aliipenda nchi, lakini kwanza alijipenda na alipenda kwao, ndio maana ameleta maendeleo makubwa katika nchi yetu ndani ya kipindi kifupi, just imagine, ile midege, ile flyover, ile Ubungo interchange, mabarabara, miondombinu, kuhamia Dodoma, SGR, Stigler, nchi ya uchumi wa kati, yote hayo ni ndani ya miaka 5 tuu!, tena hapo ndio na Corona juu!. Just imagine, angamaliza yote 10, na tukamuongezea 10 mingine!, tungekuwa wapi?.

Ndio maana mimi niliunga mkono vitu kama hivi
Charity begins at home.
P
 
Kama yeye aliamini kuwa amechaguliwa awe Raisi wa Maendeleo ya vitu(Miundombinu) tu, kuna ajabu gani akifanya hayo aliyoyafanya?

Wenzake walijua uraisi sio miundombinu tu bali ni pamoja na sekta zingine bila kusahau na maendeleo ya watu.

Kuhusu kupenda kwao, hata Nyerere alipenda kwao ila alijua yeye ni Raisi wa Tanzania na sio Butiama pekee.
 
Bwana Chato😁😁😁
WUAEy7HC.jpg
 
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).

Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.

On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.

Conclusion:

The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Si umtaje tu bwana kayafa?
 
Magufuli alikuwa mfano halisi wa tabia hizi, ushahidi upo wazi, huku mwingine ukiwa umefichwa kwani bado CCM iko madarakani.
 
Alipokuwa Waziri wa Miundombinu na kuweka traffic light kijijini kwao, ilikuwa ni ishara tosha kuwa angefanya nini iwapo angepewa Madaraka makubwa kama ilivyotokea.
 
Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.

Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
Weka angalau ushahid kdg mkuu ili tupate pa kuanzia!!
 
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).

Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.

On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.

Conclusion:

The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
1. Uwanja wa ndege wa Chato
2. Mbuga ya wanyama ya Chato
3. Tenda ya kujenga uwanja wa ndege kupewa Mayanga Construction, mmiliki wa kampuni ameoa nyumba moja na aliyekuwa mkuu wa nchi.
4. Katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa dada wa aliyekuwa mkuu wa nchi.
 
Jamaa alikuwa ni too much. Bora katangulia.
 
Back
Top Bottom