Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Lupaso na Butiamo pakoje kimaendeleo?Punguzeni unafki kila Rais aliyekuwa madarakani alikuwa anapatengeneza kwao
Kuna rasilimali zipi mlizo wapa, zaidi ya kuwahujumu na kuwanyang'anya hata rasilimali watu, Kwa wivu na Hila, kwa matarajio kuwa kitakufa.Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.
Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
With facts and evidence unaezabonyesha how wanapendelea kaskazini?Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.
Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
Development inatokana na developmental spirit, yaani moyo wa maendeleo, charity begins at home. Ukiwa na moyo wa kimasikini na mawazo ya kimasikini ukaacha kujipenda na kujiletea maendeleo kwanza wewe mwenyewe, huwezi kuendeleza wengine na huwezi kuleta maendeleo ya nchi.The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred, corrupt and is enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Kama yeye aliamini kuwa amechaguliwa awe Raisi wa Maendeleo ya vitu(Miundombinu) tu, kuna ajabu gani akifanya hayo aliyoyafanya?Development inatokana na developmental spirit, yaani moyo wa maendeleo, charity begins at home. Ukiwa na moyo wa kimasikini na mawazo ya kimasikini ukaacha kujipenda na kujiletea maendeleo kwanza wewe mwenyewe, huwezi kuendeleza wengine na huwezi kuleta maendeleo ya nchi.
JPM hakuwa na moyo wa kimasikini na mawazo ya kimasikini, ndio maana aliamini Tanzania sio masikini ni tajiri, aliipenda nchi, lakini kwanza alijipenda na alipenda kwao, ndio maana ameleta maendeleo makubwa katika nchi yetu ndani ya kipindi kifupi, just imagine, ile midege, ile flyover, ile Ubungo interchange, mabarabara, miondombinu, kuhamia Dodoma, SGR, Stigler, nchi ya uchumi wa kati, yote hayo ni ndani ya miaka 5 tuu!, tena hapo ndio na Corona juu!. Just imagine, angamaliza yote 10, na tukamuongezea 10 mingine!, tungekuwa wapi?.
Ndio maana mimi niliunga mkono vitu kama hivi
Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Wanabodi, Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...www.jamiiforums.com Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!
Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...www.jamiiforums.com Charity begins at home.Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike
Wanabodi, Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea. Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli Nimesema kwa upande wa wanyama pori, rais...www.jamiiforums.com
P
Kumbe inasemekana mi nikadhani kweliInasemekana kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada awamu ya 5!
Nimeletewa hii taarifa hadi nimeshangaa!! Of course hili jambo nilikua nalijua lakini nilikua nalijua juu juu tu Sasa nimeletewa data kamili,naambiwa kuna zaidi ya bilioni 800 zimefichwa Canada! Na hili lilifanyika awamu ya Tano na Doto james alikua hazina! Na inasemekana zilikua ni baraka...www.jamiiforums.com
Aliwanjengea barabara mpaka ntwaraMarehemu BWM hakupendelea kwao Masasi wala Ntwara... alienda zake kuishi Ushoto milimani kule... Huyu hakuwa fisadi bila shaka
Si umtaje tu bwana kayafa?Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).
Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.
On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.
Conclusion:
The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).
Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.
On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.
Conclusion:
The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Na makoti yake makubwa sijui alidhani atazeeka nayo ili azikwe nayo 🤷 hii dunia tunapita tu na kila kitu tulivikuta hapa na tutaviacha.Bwana Chato😁😁😁
View attachment 2058299
Alipokuwa Waziri wa Miundombinu na kuweka traffic light kijijini kwao, ilikuwa ni ishara tosha kuwa angefanya nini iwapo angepewa Madaraka makubwa kama ilivyotokea.Magufuli alikuwa mfano halisi wa tabia hizi, ushahidi upo wazi, huku mwingine ukiwa umefichwa kwani bado CCM iko madarakani.
Kwani bibi TOZO anasemaje juu ya hili?
Weka angalau ushahid kdg mkuu ili tupate pa kuanzia!!Hili jambo la upendeleo kwao hata wanachadema msiliongelee sana maana ipo kashfa kuu Chadema kupendelea wana Kaskazini kwa kila kitu.
Mambo mengine ni bora muwe mnakaa kimya tu
1. Uwanja wa ndege wa ChatoNi hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja).
Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia kupendelea eneo alikozaliwa tu, bali ataona haitoshi na atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha.
On other hand, ukiona kiongozi hana kabisa upendeleo wa eneo alikotoka au alikozaliwa, basi kuna uwezekano mkubwa(zaidi ya 90%) kiongozi huyo asiwe pia na hulika ya ubinafsi ya kutumia madaraka yake kujilimbikizia mali na fedha kwa ajili yake na familia yake.
Conclusion:
The simple and esiest way to discover that you leader is self-centred(egoic), corrupt and is also enriching himself or herself, you simply need to compare the level of development at his or her home village with that of neighbouring villages or districts.
Jamaa alikuwa ni too much. Bora katangulia.1. Uwanja wa ndege wa Chato
2. Mbuga ya wanyama ya Chato
3. Tenda ya kujenga uwanja wa ndege kupewa Mayanga Construction, mmiliki wa kampuni ameoa nyumba moja na aliyekuwa mkuu wa nchi.
4. Katibu mkuu wizara ya fedha ni mtoto wa dada wa aliyekuwa mkuu wa nchi.