Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao.
Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu, ajichanganye mtaani ashuhudie maisha ya wananchi kwa sasa, atatoa machozi bila kupigwa.
CCM, jambo la maana ni kumshauri kiongozi wetu na kumwambia ukweli. Mwambieni kwa sasa milo siyo mitatu tena, ni mmoja, na huo mmoja ni wa jasho na damu kwa wananchi wake!
Labda muwe na ajenda ya siri 2025.
Sawa!