Kiongozi Hamas ajeruhiwa vibaya, gari lake lasambaratishwa na drone za IDF akitokea ndani ya nyumba yake akielekea kupanda gari lake

Kiongozi Hamas ajeruhiwa vibaya, gari lake lasambaratishwa na drone za IDF akitokea ndani ya nyumba yake akielekea kupanda gari lake

Kuna double standards endapo negotiations bado zipo.

Bush mbona aliweka wazi enzi zake?!

Kama ni terrorist, why negotiating?
Yeah! Hakuna sababu ya Mjadala na Terrorist. Magaidi siku zote hawaelewagi lugha nyingine zaidi ya kipondo.
 
Hamas yote ni magaidi mkuu
Ndiyo. Halafu sasa hao magaidi wamejigawia vyeo; huyu ni kiongozi mkuu, yule ni msaidizi wake, wale ni wataalam wa vilipukizi, hawa huku ndo wanaokaa nyuma ya makalio ya akina mama n.k. n.k. Ila yote kwa yote ni kama ulivyosema WOTE ni magaidi.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi mwingine Hamas amejeruhiwa vibaya na kombora la drone za IDF Leo huko Lebanon

Unajua kilichotokea?

Drone za IDF zilipiga na kulipua gari lake wakati gaidi huyo akitokea ndani ya nyumba yake kuelekea kwenye gari lake

Sijui ni Mungu wake kamuokoa?
Sijui IDF waliwahi?

Tukio limetokea kwenye jiji la Sidon pwani ya Lebanon

Anaitwa NIDAL HLEIHIL

Taarifa kamili hapo chini:

====
Hamas commander said seriously hurt in Sidon strike

By Emanuel Fabian Follow

Lebanese media outlets report that the intended target of an alleged Israeli drone strike near the coastal city of Sidon was a Hamas official.

The reports name him as Nidal Hleihil.

According to the Annahar outlet, two missiles struck Hleihil’s car as he left his house and headed to his vehicle.

The report says he was seriously injured in the strike.
Walikuwa wanamsalimia! It was warning shot. Hapo Magetoni ndo Basi tena itabidi atafute Chimbo jingine maana wameshamwambia kuwa tunajua unakaa wapi🤣
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kiongozi mwingine Hamas amejeruhiwa vibaya na kombora la drone za IDF Leo huko Lebanon

Unajua kilichotokea?

Drone za IDF zilipiga na kulipua gari lake wakati gaidi huyo akitokea ndani ya nyumba yake kuelekea kwenye gari lake

Sijui ni Mungu wake kamuokoa?
Sijui IDF waliwahi?

Tukio limetokea kwenye jiji la Sidon pwani ya Lebanon

Anaitwa NIDAL HLEIHIL

Taarifa kamili hapo chini:

====
Hamas commander said seriously hurt in Sidon strike

By Emanuel Fabian Follow

Lebanese media outlets report that the intended target of an alleged Israeli drone strike near the coastal city of Sidon was a Hamas official.

The reports name him as Nidal Hleihil.

According to the Annahar outlet, two missiles struck Hleihil’s car as he left his house and headed to his vehicle.

The report says he was seriously injured in the strike.
Huyo aliyeshika pad za kuongoza drone kupitia sattelite ni mwanafunzi na mjinga namana hata mimi nikimpima shorobwenzi, tongwa, siyesiye kwa manati si mkosi hapo IDF WAMEFANYA MAKOSA AU WAMEKULA RUSHWA
 
Back
Top Bottom