Kiongozi Hamas ajeruhiwa vibaya, gari lake lasambaratishwa na drone za IDF akitokea ndani ya nyumba yake akielekea kupanda gari lake

Kuna double standards endapo negotiations bado zipo.

Bush mbona aliweka wazi enzi zake?!

Kama ni terrorist, why negotiating?
Yeah! Hakuna sababu ya Mjadala na Terrorist. Magaidi siku zote hawaelewagi lugha nyingine zaidi ya kipondo.
 
Hamas yote ni magaidi mkuu
Ndiyo. Halafu sasa hao magaidi wamejigawia vyeo; huyu ni kiongozi mkuu, yule ni msaidizi wake, wale ni wataalam wa vilipukizi, hawa huku ndo wanaokaa nyuma ya makalio ya akina mama n.k. n.k. Ila yote kwa yote ni kama ulivyosema WOTE ni magaidi.
 
Walikuwa wanamsalimia! It was warning shot. Hapo Magetoni ndo Basi tena itabidi atafute Chimbo jingine maana wameshamwambia kuwa tunajua unakaa wapi🤣
 
Huyo aliyeshika pad za kuongoza drone kupitia sattelite ni mwanafunzi na mjinga namana hata mimi nikimpima shorobwenzi, tongwa, siyesiye kwa manati si mkosi hapo IDF WAMEFANYA MAKOSA AU WAMEKULA RUSHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…