Kiongozi huzuka na kukubalika ndani ya Macho na mioyo ya watu na si kwa nguvu ya dola wala Pesa

Kiongozi huzuka na kukubalika ndani ya Macho na mioyo ya watu na si kwa nguvu ya dola wala Pesa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
1. Uongozi ni talanta kutoka kwa mungu

2.Uongozi ni karama mtu aliyojaliwa.

3. Kiongozi hatumii nguvu nyingi kuwa kiongozi.

4. Kiongozi ni kimbilio la watu.kutatua changamoto zao.

5. Kiongozi huonekana hata kabla hajawa Kiongozi.

6. Kiongozi ni mtu mwenye maono.

7. Kiongozi anaona kule ambako wengine hawaoni.


 
Back
Top Bottom